LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Kama Samia kamweza kuongoza ccm iweje lissu ashindwe? Kwani mbowe alivyokuwa gerezani chama kilikuwa kinaongozwa na nani?Kwa hiyo na wewe kwa akili yako Unaona Lissu anaweza kuiongoza CHADEMA?
Haahaa mbowe ana utimamu Gani? Eti anadanganywa kwamba kwa vile lissu ni mwenyekiti wa kamati ya maadili anaweza itisha muda wote hiyo kamati.uwongooCHADEMA itaendelea kuongozwa na mtu mwenye akili Timamu maana inahitaji mwenye akili Timamu na anayejitambua kuiongoza.na hivyo Mbowe ndiye atakaye chaguliwa kwa kura nyingi sana na wana CHADEMA
Lissu anachukia rushwa, anafaa sana kuwa raisi wa TanzaniaKwa hiyo na wewe kwa akili yako timamu unaweza mpa kura yako lissu?
Endelea kujidanganya na ujinga wakoLissu anachukia rushwa, anafaa sana kuwa raisi wa Tanzania
Mimi ni msema kweli na siyo chawaVijana wa CCM katika ubora wao wa uchawa!
From no where leo FAM amekuwa wa muhimu kwenu?
Acheni kudhalilisha utu wenu!
Rais Samia ni Akili kubwa na wala usijaribu kumfananisha na watu wa Hovyo hovyo.Rais Samia labda mfananishage na watu kama Barack ObamaKama Samia kamweza kuongoza ccm iweje lissu ashindwe? Kwani mbowe alivyokuwa gerezani chama kilikuwa kinaongozwa na nani?
ujinga gani bwana lukas? Hebu we taja ni mpinzani gani yupo upstair kuwa rais zaidi ya lissu?Endelea kujidanganya na ujinga wako
.
Alifanya wajibu wake kama MwenyekitiKwa hakika ni bora Umfadhili mbuzi kuliko Mwanadamu.
ujinga gani bwana lukas? Hebu we taja ni mpinzani gani yupo upstair kuwa rais zaidi ya lissu?
Amejimilikishaje chama? Kwani yeye ndiye kushika nafasi zote? Kwani si huwa anapita kwa kura?Alifanya wajibu wake kama Mwenyekiti
Lkn tusene amemfadhili hivyo Malipo ya fadhila zake ni kujimilikisha chama??
Wewe upo tayari kabisa kwa lolote. Jinsi ulivyoandika kumbe yasemwayo ni kweliAcha wenye akili Timamu wajadili hoja
M**k**u#***nd**u weweTAL ni mjinga ,na CCM Haina wajinga WA aina yake!
M**k**u#***nd**u wewe
Wana Chadema sio wajinga kiasi hicho, CCM ilikuwa kila siku mna mnanga Mbowe kuwa ni sultan hataki kuondoka madarakani na amekaa madarakani muda mrefu.Acha uzushi na uongo. Hata hivyo Wajumbe wa CHADEMA watamlipa Mbowe na kumfuta machozi kwa kumpigia kura za ndio kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.
M**k**u#***nd**u wewe
lumumba yote imekuja kumpa sapoti mbowe, lissu akipanda juu watapata wakati mgumu kufanya propaganda hapo mwakani. Wanampigia mbowe tumba wanaona ni mwepesi hana madhara kwa chama chao ccm, hata akiambiwa asigombee urais amuunge mkono mama atakubali kwa maridhiano ya kupewa wabunge na madiwani wawili watatu ili chadema isifutike kabisa kwenye siasaVijana wa CCM katika ubora wao wa uchawa!
From no where leo FAM amekuwa wa muhimu kwenu?
Acheni kudhalilisha utu wenu!
Kwa taarifa yako Lisu sio hao mafala wanataka uongozi kwa kujipendekeza, hiyo tabia ya kujipendekeza bakini nayo huko huko ccm.Jinyonge wewe unayemuunga mkono mtu asiyeweza kuongoza hata familia yake
Lissu atausikia tu uenyekiti kwenye Bomba.Kwa taarifa yako Lisu sio hao mafala wanataka uongozi kwa kujipendekeza, hiyo tabia ya kujipendekeza bakini nayo huko huko ccm.
Hata asipoupata ana support yetu wataka mabadiliko. Huyo mnayempamba kafikia ukiongoni taka asitake.Lissu atausikia tu uenyekiti kwenye Bomba.