Pre GE2025 Mbowe ndiye aliyepambania Uhai wa Lissu kwa Jasho na Damu Mpaka Kumvushia Nairobi Kenya lakini leo Lissu anampaka matope na kumuona hafai

Pre GE2025 Mbowe ndiye aliyepambania Uhai wa Lissu kwa Jasho na Damu Mpaka Kumvushia Nairobi Kenya lakini leo Lissu anampaka matope na kumuona hafai

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Vijana wa CCM katika ubora wao wa uchawa!
From no where leo FAM amekuwa wa muhimu kwenu?
Acheni kudhalilisha utu wenu!
 
CHADEMA itaendelea kuongozwa na mtu mwenye akili Timamu maana inahitaji mwenye akili Timamu na anayejitambua kuiongoza.na hivyo Mbowe ndiye atakaye chaguliwa kwa kura nyingi sana na wana CHADEMA
Haahaa mbowe ana utimamu Gani? Eti anadanganywa kwamba kwa vile lissu ni mwenyekiti wa kamati ya maadili anaweza itisha muda wote hiyo kamati.uwongoo
 
Kama Samia kamweza kuongoza ccm iweje lissu ashindwe? Kwani mbowe alivyokuwa gerezani chama kilikuwa kinaongozwa na nani?
Rais Samia ni Akili kubwa na wala usijaribu kumfananisha na watu wa Hovyo hovyo.Rais Samia labda mfananishage na watu kama Barack Obama
 
ujinga gani bwana lukas? Hebu we taja ni mpinzani gani yupo upstair kuwa rais zaidi ya lissu?
Screenshot_20241219-190341_1.jpg
 
Alifanya wajibu wake kama Mwenyekiti
Lkn tusene amemfadhili hivyo Malipo ya fadhila zake ni kujimilikisha chama??
Amejimilikishaje chama? Kwani yeye ndiye kushika nafasi zote? Kwani si huwa anapita kwa kura?
 
Acha uzushi na uongo. Hata hivyo Wajumbe wa CHADEMA watamlipa Mbowe na kumfuta machozi kwa kumpigia kura za ndio kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.
Wana Chadema sio wajinga kiasi hicho, CCM ilikuwa kila siku mna mnanga Mbowe kuwa ni sultan hataki kuondoka madarakani na amekaa madarakani muda mrefu.
Leo Chadema imeliona hilo na imeleta chuma kingine ambacho hakitetereki wala kuogopa chochote tayari woga umewajaa mnampenda tena Mbowe na kelele nyingi!
Acheni ushamba, uchaguzi huu ni wa Chadema iweje wasemaji na wakosoaji muwe CCM?
Kelele zenu ndio zinazo mpaka matope zaidi Mbowe hadi wana Chadema wanaona pengine ni Mccm. Kwa wazo hilo anapgwa chini kwa aibu.
Tulipenda kwa litofanya Chadema aondoke kwa heshima, lakini sasa atajiaibisha. Ila nafasi bado anayo maana anaweza ishangaza dunia kwa kujitoa hadi siku ya uchaguzi.
 
Vijana wa CCM katika ubora wao wa uchawa!
From no where leo FAM amekuwa wa muhimu kwenu?
Acheni kudhalilisha utu wenu!
lumumba yote imekuja kumpa sapoti mbowe, lissu akipanda juu watapata wakati mgumu kufanya propaganda hapo mwakani. Wanampigia mbowe tumba wanaona ni mwepesi hana madhara kwa chama chao ccm, hata akiambiwa asigombee urais amuunge mkono mama atakubali kwa maridhiano ya kupewa wabunge na madiwani wawili watatu ili chadema isifutike kabisa kwenye siasa
 
Jinyonge wewe unayemuunga mkono mtu asiyeweza kuongoza hata familia yake
Kwa taarifa yako Lisu sio hao mafala wanataka uongozi kwa kujipendekeza, hiyo tabia ya kujipendekeza bakini nayo huko huko ccm.
 
Back
Top Bottom