Pre GE2025 Mbowe: Nikiona chama changu kinaenda kuzamishwa, Kamanda naingia mzigoni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Freeman kachanganyikiwa...kwani yeye anataka awe mwenyekiti mpaka lini?....
Huyu jamaa anawapiga wenzie...kwa wanaomjua wala hawashangai...Lissu kwa sasa ni mtu sahihi ili kuvunja ndoa ya Freeman na CCM...
 
Kamanda tunamsihi apumzike kwa Amani. Kulinda heshima Yake.
 

Mentality za dictator hizo. Pia huyu atakuwa na kadi ya ccm mfukoni
 
Kigaila anamuangalia lisu kwa jicho Kali sn,sijui chuki au vinginevyo sijui🤔
 
Ndio idea ya Mbowe hiyo. Bila yeye hakuna CHADEMA
Ni Idea ya kipuuzi, sasa huyu Mtu akijakuwa Raisi wa Jamhuri wa Muungano si atabadilisha Katiba ili kuondoa ukomo wa uongozi ili mpaka afie Ikulu?!
 
Labda ana jina mfukoni who knows
Siasa za Afrika ni burudani tosha 😄 🤣
 
Mwenyekiti wa maisha huyo
 
Nimekisikia chuma kinasema hivyo, kama Lissu hajaingia madarakani amekipasua chama, akiingia je? Chama kitapasuka
Lissu amekipasuaje chama?
Mimi nafuatilia sana hoja za Lissu lakini sijaona hata hoja moja ya kukipasua chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…