Huu mfano wako ni wa kijuha sana umekula pesa za wizi toka kwa mbowe unakuja na mfano wa kijinga, Usikute wewe ndiyo ulikula njama za kutaka kumuua Lisu na kama si wewe kutaka kumuua lisu angefata nini Ulaya?Niko ndani kabisa yeye si anadai Mbowe wa jela nk tofauti na aliyetoka?
Mbona yeye alikimbilia Kwa mume wake Amsterdam alipotaka Kukamatwa aende jela na Shujaa wako uchwara? Kwa nini asingewnda Ili atoke jela alikuwa Lisu yule yule badala yake kageuka kuwa kibaraka?
Wee mpumbafu lissu yupo kikaoni kamati kuu mikocheni umeenda umemkosa pimbi weweIt seems there is something wrong with your brain
swali la msingi sana. Hata kesi nadhan charge haikusoma mwenyekiti wa chadema, bali ilisoma famMh Rais alikuita kama Mtu binafsi or Mwenyekiti wa CDM Taifa??
mbowe kapiigwa kwenye mshonoMbowe ndo alikuwa jela au kamati kuu?? Nanani alikuwa anaonja machungu ya jela mbowe au kamati kuu?
Lisu kamatia hapo hapo.. Hadi wateme bungoView attachment 3197479
Tunataka mtu ambaye anaweza kumuangalia huyu Mama usoni na kumuambia facts halafu akishamaliza anakuja kwetu Wananchi na kutuambia nomeongea moja mbili tatu sio Mbowe anaesema maongezi yake na Samia ni SIRI anatuficha nini?
Tunamtaka huyu MUWAZI MKWELI na MUADILIFU. Lissu na Heche
Mbowe ni division 0 darasani uwezo wake wa kufikiri upo chini, sasa hatumii Akili zake anatumia Akili za kuazima toka kwa wenje zero brain na akina Sugu, Wilium mungai watu wajinga wenye upeo mdogo haijapata kutokea kwenye siasa za TanzaniaView attachment 3197479
Tunataka mtu ambaye anaweza kumuangalia huyu Mama usoni na kumuambia facts halafu akishamaliza anakuja kwetu Wananchi na kutuambia nomeongea moja mbili tatu sio Mbowe anaesema maongezi yake na Samia ni SIRI.
Tunamtaka huyu MUWAZI MKWELI na MUADILIFU.
nakaziaView attachment 3197479
Tunataka mtu ambaye anaweza kumuangalia huyu Mama usoni na kumuambia facts halafu akishamaliza anakuja kwetu Wananchi na kutuambia nomeongea moja mbili tatu sio Mbowe anaesema maongezi yake na Samia ni SIRI anatuficha nini?
Tunamtaka huyu MUWAZI MKWELI na MUADILIFU. Lissu na Heche
Wote hao sabato na JW hawako kwenye jumuiya ya wakristo TanzaniaNje ya mada. Hivi hawa watunza sabatho huwa wanawekwa kundi gani haswa?
Je ni protestant, pentecoste, methodist au kundi gani haswa? Ongeza na wale JW(Wazee wa majarida ya amkeni!)
Pesa za wizi zipi hizo? Huo ni mfano stahiki Kwa wanaokejeli Mbowe kuwa jela,mbona wenyewe walikimbilia Kwa wauze zao Ubelgiji?Huu mfano wako ni wa kijuha sana umekula pesa za wizi toka kwa mbowe unakuja na mfano wa kijinga, Usikute wewe ndiyo ulikula njama za kutaka kumuua Lisu na kama si wewe kutaka kumuua lisu angefata nini Ulaya?
Mtoa thread aje ajibu hapaHawa viongozi waliemda kila mtu peke yake au kwa pamoja, na ilikuwaje wote wakawa na wazo moja?
Kwamba akienda askofu mmoja hawezi kuelewekaMaana yake
Mufti × 1 = Askofu x 3
Mufti mmoja ni sawa na maaskofu watatu
Tanzania bila kuwa na uhusiano na Mufti na maaskofu hao watatu huwezi kamata Dola ndio maana Lowassa na lisu walipogombea uraisi walishindwa"Maaskifu Watatu na Mufti" wakakatiwa chao. Pesa zipo, mwananchi subiri upewe tshirt na ahadi za kuletewa maji.
Mkuu hata waislamu kuna bakwata, Answar Suna, kuna mashia n.k, swali kwanini maaskofu wawe wengi vile kwani mmoja hawezi kueleweka?Waslamu bwana. Mbowe ni Mlutheri, then labda kulikuwa na baba askofu wa Catholic ambao ndio real engine behind the running of this country na labda na yule Mwamakula wa "sisi askofu".
Islam ina denomination ngapi na mufti wangapi?
Maaskofu janja janja tu hamna kituKwamba akienda askofu mmoja hawezi kueleweka
Mwenzake alichakazwa na risasi ametulia, yeye kukaa tu jela kama bibi harusi anapiga keleleJela tu ndo akaogopa hivyo? Mwenzake alivumilia risasi