imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Tunataka mtu ambaye anaweza kumuangalia huyu Mama usoni na kumuambia facts, halafu akishamaliza anakuja kwetu Wananchi na kutuambia nimeongea moja mbili tatu sio Mbowe anaesema maongezi yake na Samia ni SIRI anatuficha nini?
Tunamtaka huyu MUWAZI MKWELI na MUADILIFU. Lissu na Heche