Mbowe: Nilifuatwa na Maaskofu Watatu na Mufti Gerezani, wakaniambia Serikali inataka kufuta KESI Yako Rais ameomba aonane na Wewe. Mimi ningekataaje?

Mbowe: Nilifuatwa na Maaskofu Watatu na Mufti Gerezani, wakaniambia Serikali inataka kufuta KESI Yako Rais ameomba aonane na Wewe. Mimi ningekataaje?

c4310000-0aff-0242-0f12-08d9f2401c79_cx0_cy9_cw0_w1080_h608_s.jpg

Tunataka mtu ambaye anaweza kumuangalia huyu Mama usoni na kumuambia facts, halafu akishamaliza anakuja kwetu Wananchi na kutuambia nimeongea moja mbili tatu sio Mbowe anaesema maongezi yake na Samia ni SIRI anatuficha nini?

Tunamtaka huyu MUWAZI MKWELI na MUADILIFU. Lissu na Heche
 
Niko ndani kabisa yeye si anadai Mbowe wa jela nk tofauti na aliyetoka?

Mbona yeye alikimbilia Kwa mume wake Amsterdam alipotaka Kukamatwa aende jela na Shujaa wako uchwara? Kwa nini asingewnda Ili atoke jela alikuwa Lisu yule yule badala yake kageuka kuwa kibaraka?
Huu mfano wako ni wa kijuha sana umekula pesa za wizi toka kwa mbowe unakuja na mfano wa kijinga, Usikute wewe ndiyo ulikula njama za kutaka kumuua Lisu na kama si wewe kutaka kumuua lisu angefata nini Ulaya?
 
View attachment 3197479
Tunataka mtu ambaye anaweza kumuangalia huyu Mama usoni na kumuambia facts halafu akishamaliza anakuja kwetu Wananchi na kutuambia nomeongea moja mbili tatu sio Mbowe anaesema maongezi yake na Samia ni SIRI anatuficha nini?

Tunamtaka huyu MUWAZI MKWELI na MUADILIFU. Lissu na Heche
Lisu kamatia hapo hapo.. Hadi wateme bungo
 
View attachment 3197479
Tunataka mtu ambaye anaweza kumuangalia huyu Mama usoni na kumuambia facts halafu akishamaliza anakuja kwetu Wananchi na kutuambia nomeongea moja mbili tatu sio Mbowe anaesema maongezi yake na Samia ni SIRI.

Tunamtaka huyu MUWAZI MKWELI na MUADILIFU.
Mbowe ni division 0 darasani uwezo wake wa kufikiri upo chini, sasa hatumii Akili zake anatumia Akili za kuazima toka kwa wenje zero brain na akina Sugu, Wilium mungai watu wajinga wenye upeo mdogo haijapata kutokea kwenye siasa za Tanzania
 
Mbowe kazeeka vibaya kila akiongea na vyombo vya Habari lazima achemke, pesa alizoiba chadema zinamtesa saba
 
Nje ya mada. Hivi hawa watunza sabatho huwa wanawekwa kundi gani haswa?
Je ni protestant, pentecoste, methodist au kundi gani haswa? Ongeza na wale JW(Wazee wa majarida ya amkeni!)
Wote hao sabato na JW hawako kwenye jumuiya ya wakristo Tanzania
Sio wakristo hawatambui pasaka wala krismasi wqnajitqmbua hivyo kuwa sio wakristo na wakristo wanawatambua hivyo kuwa wao wasabato na wa Yehova
 
Alafu jukwaani utakuta Mbowe anajifananisha na kina Mandela!

Mafi matupu.

Aliewaita chadema manyumbu kumbe alikuwa anajua jinsi wanavyochezewa akili bhana.
 
Huu mfano wako ni wa kijuha sana umekula pesa za wizi toka kwa mbowe unakuja na mfano wa kijinga, Usikute wewe ndiyo ulikula njama za kutaka kumuua Lisu na kama si wewe kutaka kumuua lisu angefata nini Ulaya?
Pesa za wizi zipi hizo? Huo ni mfano stahiki Kwa wanaokejeli Mbowe kuwa jela,mbona wenyewe walikimbilia Kwa wauze zao Ubelgiji?

Unataka mfano wa kufurahisha 😆😆
 
"Maaskifu Watatu na Mufti" wakakatiwa chao. Pesa zipo, mwananchi subiri upewe tshirt na ahadi za kuletewa maji.
Tanzania bila kuwa na uhusiano na Mufti na maaskofu hao watatu huwezi kamata Dola ndio maana Lowassa na lisu walipogombea uraisi walishindwa

Walikuwa wakizurura na sheikh Katimba na Askofu mwamakula ambao si lolote wala chochote kwenye nchi hii kuamua nani ashike dola

Lisu anapoteza muda wake tu na kufurahisha genge tu hawezi kumshinda Mbowe mtoa ushirikiano kwa Mufti na maaskofu watatu
 
Waslamu bwana. Mbowe ni Mlutheri, then labda kulikuwa na baba askofu wa Catholic ambao ndio real engine behind the running of this country na labda na yule Mwamakula wa "sisi askofu".
Islam ina denomination ngapi na mufti wangapi?
Mkuu hata waislamu kuna bakwata, Answar Suna, kuna mashia n.k, swali kwanini maaskofu wawe wengi vile kwani mmoja hawezi kueleweka?
 
Back
Top Bottom