The BornAgain
JF-Expert Member
- Jun 23, 2024
- 428
- 582
Alimuokoa chatu Sasa chatu anataka kummeza! Ahahahahaha!!!Yooooteeee ya VITU alivyompa, havina maana, ukilinganisha na ile KUOKOA UHAI WAKE! Kiherehere cha kuzuia nia OVU ya JPM isitimie imemponza Mbowe!
Nyie CCM daily mnasema chama cha wachaga na wamekaa muda mrefu tunapindua meza hamtaka
Na hapa ndipo shida ilipo.Lissu kugombea uenyekiti anaonekana na mwenyekiti wake kama muasi.
Kweli tupuMbowe na Wenje ndio wasaliti wa kuiondoa CCM.
Kwa hiyo Mbowe hataki Demokrasia yeye kwake rafiki yake ni mtu yeyote asiyeitaka nafasi ya uenyekit ndani ya Chama ,hv huyu ndiye Mbowe tuliyemwamini kwenye mapambano ya kidemokrasia nchini Tanzania,inasikitisha kuona CHADEMA Imeongozwa na mtu asiyeamini Demokrasia kwa miaka 20 mfululuzo,Ingawa bado nachelea kuamini kwamba kweli Mbowe amefikia hapo pa kukataa hata mtazamo wa wanachama walio wengi.Inasikitisha kuwa na wanasiasa wa aina hii kwenye vyama vya upinzani nchini Tanzania tena wanaotumika kwa maslahi ya CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM). Niliwahi kusema huko nyuma kwamba kwa vikao vya SAMIA na Mbowe tutarajie vibe za kisanii za kuchezea watanzania.MUNGU ATUSAIDIE WAKATI WOTE KUONDOKANA NA WANAFIKI KWA MASLAHI YA TAIFA LETU.Wamepoteza maisha watu wengi kumbe wenzetu wanafanya usanii kwenye siasa.Watanzania asilimia 90 walishaichoka CCM muda mrefu tegemeo lao ni CHADEMA.MBOWE popote alipo na kama anasoma jumbe hz basi anapaswa kujitafakazi sana sana na kuhakikisha busara zake tulizozizoea zinachukua mkondo wake.Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?”
View attachment 3194370
Kwani mbowe sera zake za kugombea uwenyekiti ni zipi?Kwahiyo mzee ulitaka mkifanya takataka zenu wanyamaze?
Huyu ameishiwa sera siku hizi.
Mbowe kwake demokrasia ni kuiponda ccm kwamba imekaa miaka 60 madarakani haijafanya kitu, huku mwenyewe miaka 21+ Bado tu yupoKwa hiyo Mbowe hataki Demokrasia yeye kwake rafiki yake ni mtu yeyote asiyeitaka nafasi ya uenyekit ndani ya Chama ,hv huyu ndiye Mbowe tuliyemwamini kwenye mapambano ya kidemokrasia nchini Tanzania,inasikitisha kuona CHADEMA Imeongozwa na mtu asiyeamini Demokrasia kwa miaka 20 mfululuzo,Ingawa bado nachelea kuamini kwamba kweli Mbowe amefikia hapo pa kukataa hata mtazamo wa wanachama walio wengi.Inasikitisha kuwa na wanasiasa wa aina hii kwenye vyama vya upinzani nchini Tanzania tena wanaotumika kwa maslahi ya CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM). Niliwahi kusema huko nyuma kwamba kwa vikao vya SAMIA na Mbowe tutarajie vibe za kisanii za kuchezea watanzania.MUNGU ATUSAIDIE WAKATI WOTE KUONDOKANA NA WANAFIKI KWA MASLAHI YA TAIFA LETU.Wamepoteza maisha watu wengi kumbe wenzetu wanafanya usanii kwenye siasa.Watanzania asilimia 90 walishaichoka CCM muda mrefu tegemeo lao ni CHADEMA.MBOWE popote alipo na kama anasoma jumbe hz basi anapaswa kujitafakazi sana sana na kuhakikisha busara zake tulizozizoea zinachukua mkondo wake.
Mbowe haaminiki katika demokrasia kamwe,Wafuasi wa lisu wengi ni wajinga mno, bahati mbaya hawajijui!!!
Wanaonekana wanapenda democracy ila sio kweli hata kidogo!
Kwa akili za wafuasi wa lisu walitaka apite bila kupingwa!!! Mbowe kuchukua form anaonekana adui, sijui kwann hawajiamini!!!
Busara ni kupiga kampeni na kura ziamue sio kupenda mtelezo!!
Haahaa huyu mbowe wa sasa Sijui kafanywa nn? Au Ile ya kutoka Toka gerezani kwenda ikulu imemuharibu?Hizi kampeni ingekuwa kila mgombea ananadi mikakati yake kuelekea chaguzi zijazo na vile watajenga chama chenye nguvu ningewaelewa..binafsi sijasikia hayo zaidi ya kutuhumiana na kujibu hoja za mwenzake zinazohusu mapungufu...Mwenyekiti FAM utafanya nini kipya baada ya 20yrs za kuwa kitini? TL unakuja na mambo yepi zaidi ya pale FAM alipoishia? Atleast ningewasikia hayo ..ila kila siku ni kuzungumzia Weaknesses baina yenu? Wapinzani wenu kivyama wanawasoma tu wataemdelea kuwagaragaza..hivyo watanzania kukosa watu sahihi
Aisee...Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?”
View attachment 3194370
Hii ishu imekuwa exposed kipindi kibaya sana kwakeMbiwe ni pandikizi la CCM ndani ya Chadema
Acha mipasho ya kwenye khanga za kitchen party...Lissu kajazwa upepo, Tanzania yote anaiona kama yake, Maria kamfix Lissu kutokana nakigari
Una maana Tundu Lissu angetangulia/kufa..?Alitakiwa amwache atangulie haya yote yasingetokea.
Kawatendea kitu gani kibaya jamani..?Ikiwa LISSU anaweza kuwatendea watu waliookoa maisha yake vipi sisi asiotufahamu ?.
Kwa hiyo kuokoa MAISHA ya Lissu lengo lilikua kumfanya awe msekule wake??Alitakiwa amwache atangulie haya yote yasingetokea.
Ikiwa LISSU anaweza kuwatendea watu waliookoa maisha yake vipi sisi asiotufahamu ?.