Mbowe: Nimepata chanjo ya AstraZeneca, Serikali iharakishe kuchukua hatua za kuikabili COVID19

Wale bavicha wanaomtetea mwenyekiti waje kumuuliza kama anawajali sana kwanini hajawapeleka wote Dubai kupata chanjo,

Mara zote huwa tunasema hapa hao ikaja siku amani imepotea wataondoka na familia zao wawaacheni mkiusikia mziki wake.
Wewe ni kiazi. Mtoto ana akili kuliko wewe. Na mbwa ana common sense kukushinda. Stupid wahed.
 
Ngoja nitafute takwimu kwanza zinazoonesha malaria imesababisha vifo vingapi ktk nchi yetu mpaka sasa( kwa mwaka huu), vivyo hivyo kwa COVID then nihitimishe ni ugonjwa upi ambao ungetutia hofu zaidi kama atakavyo yeye.
 
Zipo nyingi sana hizo fake accounts za kumchafua chuma JPM...

Zimeundwa mahususi ili ku-shape fikra za watu na kujenga chuki.
Hiyo tabia mliianzisha nyinyi ya kupandikiza chuki na sasa zimekwisha ota na kutoa maua.

Tulieni muanze kuvuna mlichokipanda ili mfaidi jasho lenu.
 
Mbowe ni Debe tupu!
 
Hivi Mbowe ni mtu wa taaluma gani? Alisomea nini ambacho akizungumza nawezashika kalamu na karatasi?
 
Kwamba anachoongeaga ni pumba? Au hua humuelew kwa kuutia ugumu moyo wako tu. Kama vp mpotezee tu maana ukianza kumjadili bas unamkubali kiaina!
Hivi Mbowe ni mtu wa taaluma gani? Alisomea nini ambacho akizungumza nawezashika kalamu na karatasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…