Mbowe: Nimepata chanjo ya AstraZeneca, Serikali iharakishe kuchukua hatua za kuikabili COVID19

Mbowe: Nimepata chanjo ya AstraZeneca, Serikali iharakishe kuchukua hatua za kuikabili COVID19

Weka akiba ya maneno mkuu. Leo Magufuli ameenda zake mmebaki hamjui msimamie kipi.

Tume inaundwa,ikija na maazimio tupate chanjo sijui utasema nini.
Hao hilo hawalijui maana wapo hapa jamvini kupinga kila kitu
 
Hata Kama ni swala la afya hiyo chanjo ya kuogopa sio wajinga walioamua kuacha hiyo chanjo licha ya hasara waliyopata yani namshangaa sana.. unajua bora taarifa isingekuwa imefahamika juu ya hiyo chanjo i mean angechoma kabla ya zengwe la kugandisha damu na kukataliwa na mataifa lukuki
Nakuona mjane unapambana
 
Sasa kama mbowe ameamua achanjwe ili damu yake igande kuna tatizo?🤣🤣
 
Huyu nae kaanza kuyumba namuonaga kichwa lkn kwa hiyo chanjo ha ha ha!
Kuyumbaje? Kwani kasema watu walazimishwe kupata chanjo? Chanjo iletwe kila mtu afanye uamuzi wa kuchomwa ama kutochomwa.
 
Anamringishia nani kuwa kapata chanjo?. Hata kwa bila chanjo, kazi lazima iendelee.
 
AU imeamua kusitisha kuagiza hizo chanjo yeye na ukiherehere wake tu.
 
Kwenye suala la chanjo Tanzania nadhani kila mtu ajiamulie mwenyewe,raisi aagize chanjo za CORONA Ila kwenye kuchanjwa au kutochanjwa wamuachie mwananchi mwenyewe na maamuzi yake!

Kila mtu na akili zake juu ya maisha yake
 
Chanjo zote ni option sio lazima ,si juzi juzi zilikuja zile za matende na mabusha ,zilitolewa lakini haikulazimisha mtu atumie.
 
Back
Top Bottom