Mbowe: Nimetoka Gerezani kwa moyo mweupe. Katiba ni ajenda yetu, Sisi sio magaidi

Mbowe: Nimetoka Gerezani kwa moyo mweupe. Katiba ni ajenda yetu, Sisi sio magaidi

Hayo yote kayasema leo hii wakati akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari,

Hizi takwimu zake zinauhalisia maana sidhani kama Chadema alishinda kwa kiwango hicho kanda ya ziwa hususani katiaka mikoa ya Shinyanga,Mwanza,Geita na Simiyu kwa muibu wa maelezo yake,

Na hapa naona anaaribu kusema kura nyinyi za kanda ya ziwa ziliibiwa.
 
Muulize yeye, jaza form au piga simu, sisi tunajuaje? Mi najua chadema ili shinda kwa 52%
 
MBOWE ANAZUNGUMZA MAAZIMIO YA CHADEMA, ASEMA ALICHOZUNGUMZA NA RAIS SAMIA​

Sehemu ya nukuu za Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Machi 18, 2022:

Tume hii ya leo imepeleka majina bungeni ya kughushi na watu wameapishwa kuwa wabunge, halafu mnakuja mnasema turidhiane sasa
Mungu ibariki Chadema
 
Labda baba wa Rau Madukani!

Jo kama nakuona hoi kwenye machela:

IMG_20220318_132359_074.jpg
 
Tayari ashatengeneza mazingira ya kuwahadaa watu. Jamaa kaishavimbishwa mfuko na bimkubwa ili aje atulie na kuwahadaa hadaa ndondocha wake hadi 2025. Sasa hivi tutasikia jamaa karuka mala moja Dubai kutumia alichokusanya kwa bimkubwa ili kupunguza mawazo.
Kutoa na kupokea rushwa ni kosa kisheria,unataka kutuambia huyo Bmkubwa ni mtoaji?

Kuchamba kwingi...
 
Tayari ashatengeneza mazingira ya kuwahadaa watu. Jamaa kaishavimbishwa mfuko na bimkubwa ili aje atulie na kuwahadaa hadaa ndondocha wake hadi 2025. Sasa hivi tutasikia jamaa karuka mala moja Dubai kutumia alichokusanya kwa bimkubwa ili kupunguza mawazo.
Mala=mara akili za ccm ...
 
Back
Top Bottom