johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unadhani Ikulu unajiendea tu?!!Mtoto wa town katolewa gerezan kwa msamaha kakimbilia Ikulu kushukuru aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani Ikulu unajiendea tu?!!Mtoto wa town katolewa gerezan kwa msamaha kakimbilia Ikulu kushukuru aiseee
Tayari ashatengeneza mazingira ya kuwahadaa watu. Jamaa kaishavimbishwa mfuko na bimkubwa ili aje atulie na kuwahadaa hadaa ndondocha wake hadi 2025. Sasa hivi tutasikia jamaa karuka mala moja Dubai kutumia alichokusanya kwa bimkubwa ili kupunguza mawazo.
Unadhani Ikulu unajiendea tu?!!
Wanakutaka wewe!
Tayari ashatengeneza mazingira ya kuwahadaa watu. Jamaa kaishavimbishwa mfuko na bimkubwa ili aje atulie na kuwahadaa hadaa ndondocha wake hadi 2025. Sasa hivi tutasikia jamaa karuka mala moja Dubai kutumia alichokusanya kwa bimkubwa ili kupunguza mawazo.
Chongolo nae anaunguruma huko lumumba
Nilidhani anaongelea maazimio ya kamati kuu.
Lakini ninachokisikia ni mambo ya kesi na maisha ya gerezani tu.
Mbowe usiwe kama Lisu anayeongelea risasi kila siku, Wewe ni mwanasiasa mkubwa zungumzia mambo makubwa.
Kwa mfano, wasisitize CCM na serikali yake wahakikishe wanakamilisha miradi mikubwa yote ya maendeleo iliyoanzishwa na Mzalendo namba 2 baada ya Nyerere Shujaa Magufuli!
Mbowe: Mwendelezo wa kutaka katiba mpya uendelee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbowe kawa mrendaSeen a very strong Mbowe than ever !!
Happy, focused and determined person.
Hayo yote kayasema leo hii wakati akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari,
Hizi takwimu zake zinauhalisia maana sidhani kama Chadema alishinda kwa kiwango hicho kanda ya ziwa hususani katiaka mikoa ya Shinyanga,Mwanza,Geita na Simiyu kwa muibu wa maelezo yake,
Na hapa naona anaaribu kusema kura nyinyi za kanda ya ziwa ziliibiwa.
Mungu ampe maisha marefu..
Muulize yeye, jaza form au piga simu, sisi tunajuaje? Mi najua chadema ili shinda kwa 52%
Huna jipya. Hamna kipyaa
Great Words From Great People.Nimesema na ninasema kuwa, natangaza msamaha kwa yeyote yule nafikiri aliyenitendea baya, sina chuki wala kisasi na nawaomba Wanachadema wenzangu tusiwe na chuki na yeyote katika mapambano ya kutafuta uhuru na Ustawi wa