Mbowe: Nimetoka Gerezani kwa moyo mweupe. Katiba ni ajenda yetu, Sisi sio magaidi

Hayo yote kayasema leo hii wakati akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari,

Hizi takwimu zake zinauhalisia maana sidhani kama Chadema alishinda kwa kiwango hicho kanda ya ziwa hususani katiaka mikoa ya Shinyanga,Mwanza,Geita na Simiyu kwa muibu wa maelezo yake,

Na hapa naona anaaribu kusema kura nyinyi za kanda ya ziwa ziliibiwa.
 
Muulize yeye, jaza form au piga simu, sisi tunajuaje? Mi najua chadema ili shinda kwa 52%
 
Mungu ibariki Chadema
 
Kutoa na kupokea rushwa ni kosa kisheria,unataka kutuambia huyo Bmkubwa ni mtoaji?

Kuchamba kwingi...
 
Mala=mara akili za ccm ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…