Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Hahahahaha
Ati Mbowe anazungumza na Taifa!
Chezeya njaa kuanxzia 2015 mwishoni ulijidai kususa Lumumba eti kuna wagalatia, njaa ilipozidi ukajisalimisha kwenye praise and worship team
Mbowe ni mshamba asiyejua kuwa tuko vitani anataka kurudisha majeshi nyuma eeh?
Mbowe ameongea Mara ya kwanza akaachwa akafikiri kuwa ameshinda eeh?
Mnaomshauri mwambieni asithubutu kuleta za kuleta ama zake!
Tunatakiwa kuusikiliza mfumo tu na dola tu kwa ss na si vinginevyo
Wakati wa vita ni huu hajui kwamba Rais ametangaza state of emergency isiyotia hofu wananchi?
Mbowe ukiwa na mawazo mpigie simu Rais tunatakiwa kusikia sauti moja tu kwa ss ya Amri jeshi mkuu wa majeshi ya Ulinzi na usalama
Mbowe wala usithubutu kabisa kuleta upumbavu wako
Huyo aliyesema nikaugonjwa kadogo anejichimbia chato mbona hawi mstari wa mbele wa mambano. Kama haijamkamata hii Corona au ndugai bado hamtaamini kama hili jambo silakisiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umeingia jana jijini dsm na Nyahunge Express
In God we Trust
Unatia aibu kwa faida ya nani ? Mbowe hajakataza ushirikina wenu wa kujifukiza
Kumbe na wewe ni kibibi cha hovyo! Kwani kati ya Jiwe na Mbowe nani mwenye weledi? acha mtu kutegemea jeshi, vifaru risasi. Waweke kwenye mzani wa uraiani in terms of upstairs!Hahahahaha
Ati Mbowe anazungumza na Taifa!
Ukisikia usaliti ndiyo huo. Unayaona maisha yako ni ya thamani kubwa, ya wenzako hayana thamani, hata yakitoweka ni sawa. Na bado kuna wendazaimu wanaona ni sawa, na wanashabikia.Ila jamaa sio mtu mzuri. Anasema corona haitishi wakati yeye amekimbia.
Badilisha jina. Hilo jina lina kashfa.Mbowe wewe ni mnafiki na unalijua hilo au nifungue lile file? Utaaibika kaka, hoja za wanaume hazijibiwi kivulana
Hiyo nchi ya ukwel ambayo Mbowe Ni rais inapatikana wapiMbowe ndiye Rais wa Ukweli wengine makapi
Ameongea juzi Taifa likamkatalia likamwambia arudi shule .aache kisabengo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na wewe ni kibibi cha hovyo! Kwani kati ya Jiwe na Mbowe nani mwenye weledi? acha mtu kutegemea jeshi, vifaru risasi. Waweke kwenye mzani wa uraiani in terms of upstairs!
Kuzungumza na taifa?? Interesting...Yaani Mhe. Mbowe eti anadai atazungumza na taifa?? Mmmh“[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema Freeman Mbowe.
Wakati Rais Magufuli ametoka kuwatoa hofu Mheshimiwa Mbowe siku chache baada ya Kuamurisha wabunge wa CHADEMA wasiingie Bungeni sasa amesema anataka kuongea na taifa.
Ila namshauri Mbowe na genge lake akaye kimya , kwan anaweza kudakwa mda wowote anaongea na Taifa kwa misingi gani? yeye ni Nani hapa Tanzania?? Atulie na familia yake katika hiki kipindi kigumu.
View attachment 1439248