Mbowe: Nimewasikiliza Rais Magufuli na Spika Job Ndugai. Nimesikitika, tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote

Mbowe: Nimewasikiliza Rais Magufuli na Spika Job Ndugai. Nimesikitika, tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote

Kwani ni kosa mtu especially kiongozi wa Upinzani kuongea na Waandishi wa Habari ?

Au hilo neno Taifa ndiyo lenye kuleta nongwa?

Mbona tangu kuanzishwa kwa vyama vingi imekuwa ikifanyika hivyo?

Je Katiba inasemaje kuhusu Uhuru wa watu kukusanyika na kujadili jambo au mambo ?




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo bosi wenu Chakubanga anavyowadanganya
Mbowe ni mshamba asiyejua kuwa tuko vitani anataka kurudisha majeshi nyuma eeh?

Mbowe ameongea Mara ya kwanza akaachwa akafikiri kuwa ameshinda eeh?

Mnaomshauri mwambieni asithubutu kuleta za kuleta ama zake!

Tunatakiwa kuusikiliza mfumo tu na dola tu kwa ss na si vinginevyo

Wakati wa vita ni huu hajui kwamba Rais ametangaza state of emergency isiyotia hofu wananchi?

Mbowe ukiwa na mawazo mpigie simu Rais tunatakiwa kusikia sauti moja tu kwa ss ya Amri jeshi mkuu wa majeshi ya Ulinzi na usalama

Mbowe wala usithubutu kabisa kuleta upumbavu wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wajinga sana nchi hii. Ngoja niwaulize nyie mnaounga mkono mbowe watu wasiende bungeni. Kumbukeni kuna madaktari, mama ntilie, rais, mawaziri, wahasibu, tra, bandari, msd, vyuo, madereva, vituo vya mafuta, wote ni binadam hawa wote wakiacha majukumu yao na kuja kukaa kwa kuogopa corona mnafikiri maisha yatakuwa aje. Mbowe kafeli pia na kwa hili kama anavyofeli kwenye move zake zote zilizopita. Saiz cdm inafukuta kwa joto wabunge wanataka kurudi bungeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha
Ati Mbowe anazungumza na Taifa!
Kumbe na wewe ni kibibi cha hovyo! Kwani kati ya Jiwe na Mbowe nani mwenye weledi? acha mtu kutegemea jeshi, vifaru risasi. Waweke kwenye mzani wa uraiani in terms of upstairs!
 
Ila jamaa sio mtu mzuri. Anasema corona haitishi wakati yeye amekimbia.
Ukisikia usaliti ndiyo huo. Unayaona maisha yako ni ya thamani kubwa, ya wenzako hayana thamani, hata yakitoweka ni sawa. Na bado kuna wendazaimu wanaona ni sawa, na wanashabikia.

Kwa nini usiwashauri watu wachukue tahadhri kubwa kama unavyofanya wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe na wewe ni kibibi cha hovyo! Kwani kati ya Jiwe na Mbowe nani mwenye weledi? acha mtu kutegemea jeshi, vifaru risasi. Waweke kwenye mzani wa uraiani in terms of upstairs!


Mbowe alipata daraja la mwisho kabisa kwenye Elimu ya TZ yaani division 0, hivyo Mbowe ana low IQ kwa mujibu wa matokeo yake, ni ajabu mmefanya kuwa Kiongozi wenu, Mbowe hana uwezo wa kutuma maombi ya kazi popote na kujibiwa kwani IQ haitoshi, ameweza tu kuwa Kiongozi wa chadema shauri ya Upendeleo kwamba kaoa Mtoto wa Mtei ambaye ni Mwanzilishi wa chadema, hivyo kawekwa hapo kwa nguvu lakini siyo kwa merit, ...
 
Safi sana kamanda. Kuna mtu kajichimbia chato anachezea uhai wa watz lazima aambiwe ukweli sasa sio kesho......
Hii ni serikali ya KISHETANI
 
Mbowe kweli anazeeka vibaya,

Kwa siku za hivi karibuni amekua akitoa hotuba utafikiri ni mtu mwenye instruments za kumuwezesha kutekeleza anachokisema, yaani kwa ufupi amejipa mamlaka ambayo hana.
 
“[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema Freeman Mbowe.

Wakati Rais Magufuli ametoka kuwatoa hofu Mheshimiwa Mbowe siku chache baada ya Kuamurisha wabunge wa CHADEMA wasiingie Bungeni sasa amesema anataka kuongea na taifa.

Ila namshauri Mbowe na genge lake akaye kimya , kwan anaweza kudakwa mda wowote anaongea na Taifa kwa misingi gani? yeye ni Nani hapa Tanzania?? Atulie na familia yake katika hiki kipindi kigumu.

View attachment 1439248
Kuzungumza na taifa?? Interesting...Yaani Mhe. Mbowe eti anadai atazungumza na taifa?? Mmmh
 
Back
Top Bottom