Mbowe: Niruhusuni kunyamaza

Mbowe mihemko yake ndo kawafanya watu wacharuke ivo na kumuuliza maswali meengi ya ki- ivo!! hana hekima za kiuongozi huyu!! yeye angepiga kimya tu!! au angeongea mengine ya kisiasa yanayoendana na wkt uliopo!! lkn hakufanya ivo!!

ina maana huyu siasa kairukia tu analazimisha!! hana lolote huyu!! mwana siasa wa kweli hakosagi la kuongea bana wee!...amelewa umaarufu!!......kiburi kimemfanya akatae washauri!!! sasa anaboronga bila kujijua! ndo wanakosaga wanachama kiivi!

baadaye oooh! tumerogwa!
 
Ndugu denooJ wanachama vichwa ngumu wa CHADEMA ni wepi kwani...?

Je, unamaanisha huyu mleta mada Leak.....?

Umekosea sana kumpa hadhi ya "mwanachama mwenye kichwa kigumu" kwa sababu huyu siye mwana - CHADEMA....

Huyu ni wa kule kwenye majani ya migomba. Huko hawana HEKIMA wala BUSARA kwa kila jambo...

Amechukia kupigwa chenga ya namna hii na Mwenyekiti. Kwa sababu we all know kwamba mwenyekiti ni gentleman. Haiwezi kufanya mambo kwa tune ya maCCM...

By the way, scenario ya Tundu Lissu kusema mara moja au muda mchache baada ya kuwa amekutana na kuzungumza na Rais iko far different na scenario ya Mwenyekiti Freeman Mbowe....

Kwa scenario ya Tundu Lissu kutoa staement immediately baada ya mazungumzo yake na Rais kule Brussels Ubelgiji, tactically and politically ilikuwa timing moja bab kubwa sana....

Na kwa taarifa tu na hususani wasiojua na wasio na pua za masafa marefu ya kunusa, ni kuwa mazungumzo yale ndiyo yaliyofungua macho na ufahamu wa Rais Samia juu ya kesi ya Freeman Mbowe na kuuona ukweli ambao alifichwa kuuona muda wote kiasi cha yeye wakati mwingine kujikuta anasema uongo kwa sbb mara zote amekuwa akidanganywa na wasaidizi wake....

Kitendo cha TL chapchap kuutangazia ulimwengu walichoongea na Rais, kiliwaudhi sana wahafidhina wa ndani ya CCM na serikalini and from there, they knew exactly what is coming next..

Ndugu Leak tuliza makalio. Politic is a game of number. Calculation za CHADEMA ziko perfect kabisa....

Kumhusu Rais na serikali, ile saa moja ya mazungumzo kule Ubelgiji kati ya Rais Samia vs Tundu Lissu [M/M/Kiti - CHADEMA] ilibadilisha kila kitu hususani mtazamo na ufahamu wa mambo na siasa za Tanzania kwa Rais Samia na matokeo yake ni haya and a lot more is coming....

Freeman Mbowe ataongea tu kwa wakati mwafaka....
 
Wewe malaya wa mtaa gani? Bakuli kubwaa!!
 
Akishaongea baadae njoo ukejeli tena hapa.

Kwani huyo unaemwita mama ninani si ni maji tu ya manii kama wewe.
Kama mnapenda kutukuza tukuzani nyinyi kama huyu.
 
Mbowe anataka liwe swala la kitaifa nyie mtaka liwe swala la ku trend na ushabiki pekee. Lazima uongee wakati umetulia na lissu hakuwa jela na tayari alishajiandaa kuongea na Raisi lakini Mbowe hakujua yote haya
 
Nchi Inaendeshwa kwa mfumo wa kifalme punde CCM ikisimika cman na Rais.
Hitaji la Katiba Bora ni muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…