Nakumbuka Lissu alitoa taarifa kwa umma kupitia mitandao ya kijamii baada ya kutoka kuongea na Samia, wengine mkaanza kudai Lissu amekosa hekima hakutakiwa kuongea yote aliyozungumza na Samia.
Juzi Mbowe katoka kuongea na Samia, baada ya hapo hajasema chochote mpaka atakapokaa na viongozi wenzake ndio waje na msimamo mmoja, hili nalo nashangaa wengine hamjaridhika, wakati simply anaonesha sifa ya kiuongozi - collective responsibility.
Kutokana na hizo scenario mbili tofauti hapo juu zinaonesha vile baadhi yenu msivyoridhishwa na chochote, hata mfanyiwe nini bado mtalalamika tu, na hapo ndipo napata picha vile viongozi wa CDM wanavyowaongoza wanachama vichwa ngumu.
Ndugu
denooJ wanachama vichwa ngumu wa CHADEMA ni wepi kwani...?
Je, unamaanisha huyu mleta mada
Leak.....?
Umekosea sana kumpa hadhi ya "mwanachama mwenye kichwa kigumu" kwa sababu huyu siye mwana - CHADEMA....
Huyu ni wa kule kwenye majani ya migomba. Huko hawana HEKIMA wala BUSARA kwa kila jambo...
Amechukia kupigwa chenga ya namna hii na Mwenyekiti. Kwa sababu we all know kwamba mwenyekiti ni gentleman. Haiwezi kufanya mambo kwa tune ya maCCM...
By the way, scenario ya Tundu Lissu kusema mara moja au muda mchache baada ya kuwa amekutana na kuzungumza na Rais iko far different na scenario ya Mwenyekiti Freeman Mbowe....
Kwa scenario ya Tundu Lissu kutoa staement immediately baada ya mazungumzo yake na Rais kule Brussels Ubelgiji, tactically and politically ilikuwa timing moja bab kubwa sana....
Na kwa taarifa tu na hususani wasiojua na wasio na pua za masafa marefu ya kunusa, ni kuwa mazungumzo yale ndiyo yaliyofungua macho na ufahamu wa Rais Samia juu ya kesi ya Freeman Mbowe na kuuona ukweli ambao alifichwa kuuona muda wote kiasi cha yeye wakati mwingine kujikuta anasema uongo kwa sbb mara zote amekuwa akidanganywa na wasaidizi wake....
Kitendo cha TL chapchap kuutangazia ulimwengu walichoongea na Rais, kiliwaudhi sana wahafidhina wa ndani ya CCM na serikalini and from there, they knew exactly what is coming next..
Ndugu
Leak tuliza makalio. Politic is a game of number. Calculation za CHADEMA ziko perfect kabisa....
Kumhusu Rais na serikali, ile saa moja ya mazungumzo kule Ubelgiji kati ya Rais Samia vs Tundu Lissu [M/M/Kiti - CHADEMA] ilibadilisha kila kitu hususani mtazamo na ufahamu wa mambo na siasa za Tanzania kwa Rais Samia na matokeo yake ni haya and a lot more is coming....
Freeman Mbowe ataongea tu kwa wakati mwafaka....