Mbowe: Niruhusuni kunyamaza

Kuomba kunyamaza kuna tafsiri hana nia ya kuendelea na harakati zake.
Angenyamaza tu bila kuomba.
Tungejua mzee anajipanga.
Ila niliwaambia mapema HAKUNA FREE YA BURE.
Sijui hata unaongea utoto gani, kanyamaza ghafla na ndio katoka jela wala hana 48hrs nje!
 
kwa hyo mnapenda mtawale peke yenu?
Sasa kuna umuhimu gani wq kuita nchi ya demokrasia?
Na vyama vipi?
 
Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?
Hivi hujui kwamba katika ukimya kuna hekima? Na uzuri ni kwamba ameomba akae kimya kwa muda. Hii ina maana anataka kupata muda wa kutafakari aongee nini muda utakapowadia
 
kwa hyo mnapenda mtawale peke yenu?
Sasa kuna umuhimu gani wq kuita nchi ya demokrasia?
Na vyama vipi?
Huyu mama zamani nilikuwa namuona kama ana akili na busara sana. But lately nimegundua hamna kitu and she is a disgrace to the country
 
kwa hyo mnapenda mtawale peke yenu?
Sasa kuna umuhimu gani wq kuita nchi ya demokrasia?
Na vyama vipi?
Huyu mama zamani nilikuwa namuona kama ana akili na busara sana. But lately nimegundua hamna kitu and she is a disgrace to the country
 
kwa hyo mnapenda mtawale peke yenu?
Sasa kuna umuhimu gani wq kuita nchi ya demokrasia?
Na vyama vipi?
Hayo jiulize wewe.

Nani dunia hii anaependa kutawaliwa zaidi yako wewe?

Unafikiri Rais akitokea chadema ndio wewe hujatawaliwa? Anza kwa kujifungua minyororo iliyopo kichwani mwako, jitawale wewe mwenyewe kwanza ili uamue nani akufanyie kazi zako zipi, kuanzia nyumbani kwako mpaka serikalini. Fikiri.

Au huelewei maana ya "King maker"?
 
Upo sahihi sana ndugu yangu maana kwa wapigania matumbo yao wote hawakupendezwa kabisa na mh Mbowe ni kuwa huru.

Kitendo cha mh rais kumuita mh Mbowe kwenda ikulu kimewauma sana hao kina kwangu pakavu tia mchuzi maana wao wanategemea migogoro idumu ili wapate nafasi ya kuuza majungu.
 
Kwani mzee wetu nyerere alipotaka vyama vingi halikuwq hayajui hayo?
Kuwa ipo siku Ccm itatakiwa kuondoka madarakani kwa Kura?
Na kwanini una amini wewwt ccm ndo unaweza kuitawala Tanzania vizuri na sio chama kingine?
Kuna Siri gani kati ya ccm na TANZANIA mpaka hamtaki kuwe na tume huru ya uchaguzi?
 
Wakati zito alipomuombea msamaha mbowe kwa Samia mkakaza vichwa mlikuwa hamlijui Hilo?
Au mmesoma upepo?
 
Mzee wako Nyerere hakutaka vyama vingi. Yeye alipiga marufuku vyama vingi muda mchache tu baada ya kuingia madarakani.

Aliyerudisha vyama vingi ni Mzee Ruksa, Rais Ali Hassan Mwinyi. Kumbuka hilo.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Aongee nini sasa! Kaongea mpaka kalia,Mbowe mwanasiasa Chiba mwanaharakati alafu kichwa chake hakipo vizuri
 
[emoji871]Kwani aongee kipi ambacho hajaongea?

[emoji871]Mbona tunaona clips nyingi huko YouTube akiongea,tangia ametoka gerezani?

[emoji871]Yeye ni mjanja na ametumia Kanisa kutafuta Attention ya watu, ili siku ya kutaka kuanza harakati zake apate watazamaji.

[emoji871]Hizi zingine ni Kick za kuchonga tu mnazompa.

[emoji419]Isitoshe hata yeye anaelewa kwamba pale kanisani sio jukwaa la siasa,wala hakuna muumini aliemuomba aongee zaidi ya kutoa salamu na shukurani.

[emoji871]Ametumia ujanja wa kisiasa kuchomekea hoja yake.
 

Sababu za msingi anazo

Amekaa jela miezi nane, amekaa mbali na family yake Kwa miezi nane, sio Jambo dogo

Unataka atoke Tu aanze kuongea kukufurahisha ww ambae ujaenda hata magereza kumtembelea ?

Mboe nae ni binadamu
 

Kabisa kabisa,
 
Very perspicacious!
 
Mbona mnakua wajinga hivi? Jamaa yenu kaonyesha busara yani upewe mwaliko na Rais unaanzaje kukataa akikuamlia hata hiyo press unaweza usiifanye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…