Mbowe: Niruhusuni kunyamaza

Abramovich ana kanuni yake muhimu kuwa Rais ndio anamiliki jela na sheria hivo alikuwa mtu makini ambaye alihakikisha kuwa hakosani na watawala ili asiharibu mambo yake.

Point muhimuu sana... Asomae na Afahamu
 
aliyepiga Kura ya vyama vingi ni nani kama sio nyerere?
Mzee wako Nyerere hakutaka vyama vingi. Yeye alipiga marufuku vyama vingi muda mchache tu baada ya kuingia madarakani.

Aliyerudisha vyama vingi ni Mzee Ruksa, Rais Ali Hassan Mwinyi. Kumbuka hilo.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Mbowe ana akili nyingi sn ni kama Mandela ya watanzanai
 
Ataongea rasmi kama kiongozi baada ya muda fulani, kama una mazungumzo binafsi na yeye nenda nyumbani kwake au ofisini. Kwa sasa endelea kuongea na mbunge na diwani wako waliopatikana kwa uchaguzi wa kihayawani.
Tindo kama @tindoπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…