Mbowe: Niruhusuni kunyamaza

Mbowe: Niruhusuni kunyamaza

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!

My opinion

Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?

Mbowe alitakiwa kuongea na watanzania kabla hata ya kuongea na Rais kwani watanzania walio wengi walitamani kuona Mbowe anakuwa wa kwanza kuongea nao na sio kuwaomba muda wa kunyamaza!

Mbowe sidhani kama ana sababu za msingi za kutoongea kwa sasa na sidhani kama kuongea na watanzania kwa sasa kungepunguza chochote! Ikiwa aliweza kuongea na Rais kwanini asiongee na watanzania?
IMG_0763.jpg
 
Nakumbuka Lissu alitoa taarifa kwa umma kupitia mitandao ya kijamii baada ya kutoka kuongea na Samia, wengine mkaanza kudai Lissu amekosa hekima hakutakiwa kuongea yote aliyozungumza na Samia.

Juzi Mbowe katoka kuongea na Samia, baada ya hapo hajasema chochote mpaka atakapokaa na viongozi wenzake ndio waje na msimamo mmoja, hili nalo nashangaa wengine hamjaridhika, wakati simply anaonesha sifa ya kiuongozi - collective responsibility.

Kutokana na hizo scenario mbili tofauti hapo juu zinaonesha vile baadhi yenu msivyoridhishwa na chochote, hata mfanyiwe nini bado mtalalamika tu, na hapo ndipo napata picha vile viongozi wa CDM wanavyowaongoza wanachama vichwa ngumu na watanzania kwa ujumla.
 
Hili ndilo tatizo la watanzania wengi wanahitaji kila mtu akisaidiwa alipe hapohapo kama mnaamini Mbowe katoka kwa Maombi yenu mnataka awalipe hapohapo?

Na nyie ndio wale ambao kila mkisaidia mnawaza kulipwa Kwa chochote au nyie ndio wale mkitaka kusaidia watu mnaitisha umati wa waandishi wa habari mutoe mulichonacho ili mukimaliza tu pale munaowasaidia wenye mahitaji wawapongeze na maneno mengiiii.

Mbowe yupo sahihi hili swala lilikua Zito sana sio lakutoka Mahakamani na kwenda kwa Press inatakiwa u Digest vitu na sio kila kitu akiseme.

#Taifa hili lina wajinga wengi sana.
 
Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!

My opinion

Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?

Mbowe alitakiwa kuongea na watanzania kabla hata ya kuongea na Rais kwani watanzania walio wengi walitamani kuona Mbowe anakuwa wa kwanza kuongea nao na sio kuwaomba muda wa kunyamaza!

Mbowe sidhani kama ana sababu za msingi za kutoongea kwa sasa na sidhani kama kuongea na watanzania kwa sasa kungepunguza chochote! Ikiwa aliweza kuongea na Rais kwanini asiongee na watanzania?View attachment 2141158

Ataongea rasmi kama kiongozi baada ya muda fulani, kama una mazungumzo binafsi na yeye nenda nyumbani kwake au ofisini. Kwa sasa endelea kuongea na mbunge na diwani wako waliopatikana kwa uchaguzi wa kihayawani.
 
Nakumbuka Lissu aliongea na wanahabari baada ya kutoka kuongea na Samia, wengine mkaanza kudai Lissu amekosa hekima hakutakiwa kuongea yote aliyozungumza na Samia.

Juzi Mbowe katoka kuongea na Samia, baada ya hapo hajasema chochote mpaka atakapokaa na viongozi wenzake ndio waje na msimamo mmoja, hili nalo nashangaa wengine hamjaridhika.

Kutokana na hizo scenario mbili tofauti hapo juu zinaonesha vile baadhi yenu msivyoridhika na chochote, hata mfanyiwe nini bado mtalalamika tu, na hapo ndipo napata picha vile viongozi wa CDM wanavyowaongoza wanachama vichwa ngumu.
Mbowe alisema vijana wana mihemko
 
Siasa za miaka hii binafsi sizielewi tangu aje JPM, Kutumia majukwaa ya Makanisa/Misikiti kuongea ni kosa ambalo miaka ijayo italeta athari...........pale Kila mtu ameenda Kusali na pale kiongozi ni mkuu wa ibada tu.....jambo hili ni hatari sana na linazidi kuwa na mizizi nchini.........
 
Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!

My opinion

Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?

Mbowe alitakiwa kuongea na watanzania kabla hata ya kuongea na Rais kwani watanzania walio wengi walitamani kuona Mbowe anakuwa wa kwanza kuongea nao na sio kuwaomba muda wa kunyamaza!

Mbowe sidhani kama ana sababu za msingi za kutoongea kwa sasa na sidhani kama kuongea na watanzania kwa sasa kungepunguza chochote! Ikiwa aliweza kuongea na Rais kwanini asiongee na watanzania?View attachment 2141158
Aongee nini wakati mama kaenda kule lupango kabla na kumwambia.. 'wewe mangi nimeambiwa unafungwa. Ushahidi upande wa mashitaka wameshaona una hatia makosa manne kati ya matano. Wanasheria wananambia hata ukijitetea vipi huwezi chomoa makosa yote.

Kwa hivyo kama unakubali kufunga domo lako na kujidai wewe ndio unajua haki ni nini kuliko watu wote nchini, kama mkuu wa nchi na serikali nitamuomba dpp akufutie mashitaka. Lakini ujue ukileta ujuaji tunarejesha kesi iendelee ilikoishia. Kama unakubali nijibu hapahapa.

Sijakuja kwa mkutano au mapatano yoyote'. Mbowe akajibu haraka .. 'naam mama nakubali naona maji kina kimezidi nazama niokoe' mama akaondoka.
 
Aongee nini wakati mama kaenda kule lupango kabla na kumwambia.. 'wewe mangi nimeambiwa unafungwa. Ushahidi upande wa mashitaka wameshaona una hatia makosa manne kati ya matano. Wanasheria wananambia hata ukijitetea vipi huwezi chomoa makosa yote. Kwa hivyo kama unakubali kufunga domo lako na kujidai wewe ndio unajua haki ni nini kuliko watu wote nchini, kama mkuu wa nchi na serikali nitamuomba dpp akufutie mashitaka. Lakini ujue ukileta ujuaji tunarejesha kesi iendelee ilikoishia. Kama unakubali nijibu hapahapa. Sijakuja kwa mkutano au mapatano yoyote'. Mbowe akajibu haraka .. 'naam mama nakubali naona maji kina kimezidi nazama niokoe' mama akaondoka.
Yaani na wewe ulimuamini Godbless Lema?

Bure kabisa!
 
Mbowe anakiri kwamba vijana wake wana mihemko.

Ndio maana hata wanapotukana hapa huwa tunawavumilia tu.
 
Washwahili hamna dogo kwa kweli
Ila ni kawaida hata picha zake tu mnaweza kuzitungia maneno na kumlisha kuwa kasema yeye

Ukiingia kwa hao jamaa kuongea huwa ni ngumu sana
Hivi MO wakati ule alisema chochote mpaka leo?
 
Nakumbuka Lissu alitoa taarifa kwa umma kupitia mitandao ya kijamii baada ya kutoka kuongea na Samia, wengine mkaanza kudai Lissu amekosa hekima hakutakiwa kuongea yote aliyozungumza na Samia.

Juzi Mbowe katoka kuongea na Samia, baada ya hapo hajasema chochote mpaka atakapokaa na viongozi wenzake ndio waje na msimamo mmoja, hili nalo nashangaa wengine hamjaridhika, wakati simply anaonesha sifa ya kiongozi - collective responsibility.

Kutokana na hizo scenario mbili tofauti hapo juu zinaonesha vile baadhi yenu msivyoridhishwa na chochote, hata mfanyiwe nini bado mtalalamika tu, na hapo ndipo napata picha vile viongozi wa CDM wanavyowaongoza wanachama vichwa ngumu.

Lissu hakukosea maana alijua kuwa kunaweza kuwa na madhara mengi kunyamaza na aliona hakuna sababu hiyo ya kukaa kimya!
 
Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!

My opinion

Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?

Mbowe alitakiwa kuongea na watanzania kabla hata ya kuongea na Rais kwani watanzania walio wengi walitamani kuona Mbowe anakuwa wa kwanza kuongea nao na sio kuwaomba muda wa kunyamaza!

Mbowe sidhani kama ana sababu za msingi za kutoongea kwa sasa na sidhani kama kuongea na watanzania kwa sasa kungepunguza chochote! Ikiwa aliweza kuongea na Rais kwanini asiongee na watanzania?View attachment 2141158
Wacha tuu tumruhusu maana hatuwezi jua kule ikulu alilishwa nini maana kila anaeingia huko akitoka anakuwa sio yeye kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washwahili hamna dogo kwa kweli
Ila ni kawaida hata picha zake tu mnaweza kuzitungia maneno na kumlisha kuwa kasema yeye

Ukiingia kwa hao jamaa kuongea huwa ni ngumu sana
Hivi MO wakati ule alisema chochote mpaka leo?

Mbona Lissu aliongea? Au Lissu yeye ni wa aina gani?
 
Back
Top Bottom