Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!
My opinion
Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?
Mbowe alitakiwa kuongea na watanzania kabla hata ya kuongea na Rais kwani watanzania walio wengi walitamani kuona Mbowe anakuwa wa kwanza kuongea nao na sio kuwaomba muda wa kunyamaza!
Mbowe sidhani kama ana sababu za msingi za kutoongea kwa sasa na sidhani kama kuongea na watanzania kwa sasa kungepunguza chochote! Ikiwa aliweza kuongea na Rais kwanini asiongee na watanzania?