Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Nyumbu ni babako na mamakoHapana ninyi ni weupe sana.
Ndo maana nimewapa sifa ya nyumbu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumbu ni babako na mamakoHapana ninyi ni weupe sana.
Ndo maana nimewapa sifa ya nyumbu
Sia ambayo Lissu hanaNakumbuka Lissu alitoa taarifa kwa umma kupitia mitandao ya kijamii baada ya kutoka kuongea na Samia, wengine mkaanza kudai Lissu amekosa hekima hakutakiwa kuongea yote aliyozungumza na Samia.
Juzi Mbowe katoka kuongea na Samia, baada ya hapo hajasema chochote mpaka atakapokaa na viongozi wenzake ndio waje na msimamo mmoja, hili nalo nashangaa wengine hamjaridhika, wakati simply anaonesha sifa ya kiuongozi - collective responsibility.
Kutokana na hizo scenario mbili tofauti hapo juu zinaonesha vile baadhi yenu msivyoridhishwa na chochote, hata mfanyiwe nini bado mtalalamika tu, na hapo ndipo napata picha vile viongozi wa CDM wanavyowaongoza wanachama vichwa ngumu na watanzania kwa ujumla.
Nyumbu ni babako na mamako
Sasa ndio umejibu nini hiki?
Nakubaliana nawe, ingependeza kama angenyamaza hata kwa rais. Kwenda kuongea na rais kumevunja ahadi yake ya kunyamaza!Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!
My opinion
Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?
Mbowe alitakiwa kuongea na watanzania kabla hata ya kuongea na Rais kwani watanzania walio wengi walitamani kuona Mbowe anakuwa wa kwanza kuongea nao na sio kuwaomba muda wa kunyamaza!
Mbowe sidhani kama ana sababu za msingi za kutoongea kwa sasa na sidhani kama kuongea na watanzania kwa sasa kungepunguza chochote! Ikiwa aliweza kuongea na Rais kwanini asiongee na watanzania?View attachment 2141158
Apo tunakua tumeutendea haki utanzania wetu.Nakumbuka Lissu alitoa taarifa kwa umma kupitia mitandao ya kijamii baada ya kutoka kuongea na Samia, wengine mkaanza kudai Lissu amekosa hekima hakutakiwa kuongea yote aliyozungumza na Samia.
Juzi Mbowe katoka kuongea na Samia, baada ya hapo hajasema chochote mpaka atakapokaa na viongozi wenzake ndio waje na msimamo mmoja, hili nalo nashangaa wengine hamjaridhika, wakati simply anaonesha sifa ya kiuongozi - collective responsibility.
Kutokana na hizo scenario mbili tofauti hapo juu zinaonesha vile baadhi yenu msivyoridhishwa na chochote, hata mfanyiwe nini bado mtalalamika tu, na hapo ndipo napata picha vile viongozi wa CDM wanavyowaongoza wanachama vichwa ngumu na watanzania kwa ujumla.
Unaijua sifa ya nyumbu?
Unafikiri katiba mpya ndio itawapa nchi Wachagga?
Yaliyosemwa na Mbowe na Rais yamo kwenye taarifa ya Zuhura Yunus aliyoisambaza kwa umma.Nilitegemea Mbowe aseme wazi kuwa nimeongea na Rais kuhusu hiki na hiki na nimemwambia hiki na hiki na kwa kirefu nitasema baadae lakini kwa ufupi nimemwambia hiki na hiki!
Siijua bwana kingai, kwakuwa ww ni bendera fuata upepo huenda unajua. Hebu tuambie sifa hizo.
Sifa ya nyumbu alipoelekea kiongozi wao na wao wanaelekea huko huko hata kama ni shimoni.
Mbowe ameomba akae kimya.
Mmemuuliza kwa Nini?
Amefika Bei?
Sikuwa nasubiri aniambie lolote hivyo hata akikaa kimya kwangu ni sawa. Ww uleyetaka aseme ndio unapata tabu. Sasa hilo sio kosa langu bali ni lako.
Nakumbuka Lissu alitoa taarifa kwa umma kupitia mitandao ya kijamii baada ya kutoka kuongea na Samia, wengine mkaanza kudai Lissu amekosa hekima hakutakiwa kuongea yote aliyozungumza na Samia.
Juzi Mbowe katoka kuongea na Samia, baada ya hapo hajasema chochote mpaka atakapokaa na viongozi wenzake ndio waje na msimamo mmoja, hili nalo nashangaa wengine hamjaridhika, wakati simply anaonesha sifa ya kiuongozi - collective responsibility.
Kutokana na hizo scenario mbili tofauti hapo juu zinaonesha vile baadhi yenu msivyoridhishwa na chochote, hata mfanyiwe nini bado mtalalamika tu, na hapo ndipo napata picha vile viongozi wa CDM wanavyowaongoza wanachama vichwa ngumu na watanzania kwa ujumla.
😂😄😂😂Wacha tuu tumruhusu maana hatuwezi jua kule ikulu alilishwa nini maana kila anaeingia huko akitoka anakuwa sio yeye kabisa
Not easy...huwez jua mkataba alio kula hadi kwenda ikulu.. REMEMBER NO DEMOCRACY IN AFRICA 🌍🌍🌍Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!
My opinion
Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?
Mbowe alitakiwa kuongea na watanzania kabla hata ya kuongea na Rais kwani watanzania walio wengi walitamani kuona Mbowe anakuwa wa kwanza kuongea nao na sio kuwaomba muda wa kunyamaza!
Mbowe sidhani kama ana sababu za msingi za kutoongea kwa sasa na sidhani kama kuongea na watanzania kwa sasa kungepunguza chochote! Ikiwa aliweza kuongea na Rais kwanini asiongee na watanzania?View attachment 2141158
Ukweli ni kwamba ha Mataga wengi wakina Katambi na vijanaUviccm ni Pangu pakavu tia mchuzi hakuna kitu kwa hao vijana leo wameanzisha group la uchonganishi wa Mbowe kukubali kwenda Ikulu iwe ajenda ya kummaliza MboweBado hujaelewa tu.Wao wana tumia akili na sisi hivyo tunatumia akili.
Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!