Mbowe: Niruhusuni kunyamaza

Mbowe: Niruhusuni kunyamaza

Nakumbuka Lissu alitoa taarifa kwa umma kupitia mitandao ya kijamii baada ya kutoka kuongea na Samia, wengine mkaanza kudai Lissu amekosa hekima hakutakiwa kuongea yote aliyozungumza na Samia.

Juzi Mbowe katoka kuongea na Samia, baada ya hapo hajasema chochote mpaka atakapokaa na viongozi wenzake ndio waje na msimamo mmoja, hili nalo nashangaa wengine hamjaridhika, wakati simply anaonesha sifa ya kiuongozi - collective responsibility.

Kutokana na hizo scenario mbili tofauti hapo juu zinaonesha vile baadhi yenu msivyoridhishwa na chochote, hata mfanyiwe nini bado mtalalamika tu, na hapo ndipo napata picha vile viongozi wa CDM wanavyowaongoza wanachama vichwa ngumu na watanzania kwa ujumla.
Sia ambayo Lissu hana
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Ndo maaana nimewaambia ninyi ni WEUPE SANA
Najua una maumivu makali.
Pole sana.hamjachelewa bado.
Ila ushauri wangu.
JIFUNZENI KUJIBU HOJA KWA HOJA.
uwe na siku njema
Nyumbu ni babako na mamako
 
Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!

My opinion

Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?

Mbowe alitakiwa kuongea na watanzania kabla hata ya kuongea na Rais kwani watanzania walio wengi walitamani kuona Mbowe anakuwa wa kwanza kuongea nao na sio kuwaomba muda wa kunyamaza!

Mbowe sidhani kama ana sababu za msingi za kutoongea kwa sasa na sidhani kama kuongea na watanzania kwa sasa kungepunguza chochote! Ikiwa aliweza kuongea na Rais kwanini asiongee na watanzania?View attachment 2141158
Nakubaliana nawe, ingependeza kama angenyamaza hata kwa rais. Kwenda kuongea na rais kumevunja ahadi yake ya kunyamaza!
 
Nakumbuka Lissu alitoa taarifa kwa umma kupitia mitandao ya kijamii baada ya kutoka kuongea na Samia, wengine mkaanza kudai Lissu amekosa hekima hakutakiwa kuongea yote aliyozungumza na Samia.

Juzi Mbowe katoka kuongea na Samia, baada ya hapo hajasema chochote mpaka atakapokaa na viongozi wenzake ndio waje na msimamo mmoja, hili nalo nashangaa wengine hamjaridhika, wakati simply anaonesha sifa ya kiuongozi - collective responsibility.

Kutokana na hizo scenario mbili tofauti hapo juu zinaonesha vile baadhi yenu msivyoridhishwa na chochote, hata mfanyiwe nini bado mtalalamika tu, na hapo ndipo napata picha vile viongozi wa CDM wanavyowaongoza wanachama vichwa ngumu na watanzania kwa ujumla.
Apo tunakua tumeutendea haki utanzania wetu.
Ukifanya tunasema ukiacha tunasema
 
Anachofanya mbowe binadamu wengi hawawezi...

Tumpe muda,,, asije akaropoka akaharibu mambo...

Hapo siku atakaposema anakuja kuzungumza nchi itakaa kumsikiliza,,, kuliko aropoke..

Na infact unataka aseme nini.!? Hata akisema sasa bado utakosoa alichosema...
 
Nilitegemea Mbowe aseme wazi kuwa nimeongea na Rais kuhusu hiki na hiki na nimemwambia hiki na hiki na kwa kirefu nitasema baadae lakini kwa ufupi nimemwambia hiki na hiki!
Yaliyosemwa na Mbowe na Rais yamo kwenye taarifa ya Zuhura Yunus aliyoisambaza kwa umma.
 
Sifa ya nyumbu alipoelekea kiongozi wao na wao wanaelekea huko huko hata kama ni shimoni.
Mbowe ameomba akae kimya.
Mmemuuliza kwa Nini?
Amefika Bei?
Siijua bwana kingai, kwakuwa ww ni bendera fuata upepo huenda unajua. Hebu tuambie sifa hizo.
 
Sifa ya nyumbu alipoelekea kiongozi wao na wao wanaelekea huko huko hata kama ni shimoni.
Mbowe ameomba akae kimya.
Mmemuuliza kwa Nini?
Amefika Bei?

Sikuwa nasubiri aniambie lolote hivyo hata akikaa kimya kwangu ni sawa. Ww uleyetaka aseme ndio unapata tabu. Sasa hilo sio kosa langu bali ni lako.
 
Ulitaka Mbowe aongee vile vilivyoujaza moyo wako? Nyie ndio wale mliotaka aendelee kukaa ndani.
 
Hapa ndipo sifa ya nyumbu inapokuja.
Sio nyie mliosema mwamba hawezi kufika Bei?
Kipo wapi?
Mbona kanyamaza ghafla?
Sikuwa nasubiri aniambie lolote hivyo hata akikaa kimya kwangu ni sawa. Ww uleyetaka aseme ndio unapata tabu. Sasa hilo sio kosa langu bali ni lako.
 
Hii ndio HEKIMA
Nyamaza kwanza
Ponya moyo wako
Zungumza na Mungu wako
Zungumza na familia yako
Zungumza na chama chako Ndipo

Utazungumza na WaTz

Jipe muda
Usijeukajuta uliyoyaongea uliyoyaacha baadae

Waliokuombea walifanya kwa hiari hakulazimishwa mtu

Tulia Ukiwa tayari wenye kukutakia mema watakusikiliza wakati sahihi ambao Mungu wako atakuongoza

Tuache lawama bandugu
 
Nakumbuka Lissu alitoa taarifa kwa umma kupitia mitandao ya kijamii baada ya kutoka kuongea na Samia, wengine mkaanza kudai Lissu amekosa hekima hakutakiwa kuongea yote aliyozungumza na Samia.

Juzi Mbowe katoka kuongea na Samia, baada ya hapo hajasema chochote mpaka atakapokaa na viongozi wenzake ndio waje na msimamo mmoja, hili nalo nashangaa wengine hamjaridhika, wakati simply anaonesha sifa ya kiuongozi - collective responsibility.

Kutokana na hizo scenario mbili tofauti hapo juu zinaonesha vile baadhi yenu msivyoridhishwa na chochote, hata mfanyiwe nini bado mtalalamika tu, na hapo ndipo napata picha vile viongozi wa CDM wanavyowaongoza wanachama vichwa ngumu na watanzania kwa ujumla.

1. Swala la taarifa ya Lissu hapa halina relevance, kwasababu mtoa hoja hajasema kwamba anataka Mbowe aueleze umma kile alichoongea na Rais. In fact, yeye mtoa hoja alitarajia kwamba Mbowe angeongea na umma kabla hata hajakutana na Rais.

2. Umemwekea Mbowe maneno mdomoni. Sababu alizozitoa yeye za kuomba aachwe anyamaze siyo hizi ambazo wewe umezitaja hapa.
 
Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!

My opinion

Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?

Mbowe alitakiwa kuongea na watanzania kabla hata ya kuongea na Rais kwani watanzania walio wengi walitamani kuona Mbowe anakuwa wa kwanza kuongea nao na sio kuwaomba muda wa kunyamaza!

Mbowe sidhani kama ana sababu za msingi za kutoongea kwa sasa na sidhani kama kuongea na watanzania kwa sasa kungepunguza chochote! Ikiwa aliweza kuongea na Rais kwanini asiongee na watanzania?View attachment 2141158
Not easy...huwez jua mkataba alio kula hadi kwenda ikulu.. REMEMBER NO DEMOCRACY IN AFRICA 🌍🌍🌍
 
Bado hujaelewa tu.Wao wana tumia akili na sisi hivyo tunatumia akili.
Ukweli ni kwamba ha Mataga wengi wakina Katambi na vijanaUviccm ni Pangu pakavu tia mchuzi hakuna kitu kwa hao vijana leo wameanzisha group la uchonganishi wa Mbowe kukubali kwenda Ikulu iwe ajenda ya kummaliza Mbowe
Ukweli mmeshashindwa kabla
Niwakumbushe kundilenu ni sawa tu na wale Pangu pakavu wazamani wa Simba na Yanga(Makomando wa milangoni) baada ya mabadiliko ya mfumo wa mpira wamepotea hivyo hivyo na kina Katambi mmnaenda kupotea katika siasa safi zinazokuja zikiongozwa na MAMA na wapenda amani wa kweli wa nchi hii Ukomandoo uchwara THE END
 
Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla!

My opinion

Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza?

Mbowe alitakiwa kuongea na watanzania kabla hata ya kuongea na Rais kwani watanzania walio wengi walitamani kuona Mbowe anakuwa wa kwanza kuongea nao na sio kuwaomba muda wa kunyamaza!

Mbowe sidhani kama ana sababu za msingi za kutoongea kwa sasa na sidhani kama kuongea na watanzania kwa sasa kungepunguza chochote! Ikiwa aliweza kuongea na Rais kwanini asiongee na watanzania?View attachment 2141158

Itifaki imezingatiwa

Akishaongea mkuu mazungumzo yamefungwa kwa muda huo
 
Back
Top Bottom