Pre GE2025 Mbowe: Nitajiuzulu siasa 2025 endapo CCM itashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo mkoani Kilimanjaro

Pre GE2025 Mbowe: Nitajiuzulu siasa 2025 endapo CCM itashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo mkoani Kilimanjaro

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anatabia ya kunywa konyagi nyinyi mliokuwa karibu alikuwa katika Hali gani wakati anaongea?
 
Nimeshangaa! Lakini sijaelewa,... inawezekana?
Yeah aliahidi kustaafu uenyekiti 2023 nashangaa anajiandaa kugombea urais. Hata hizi ziara zinambrand yeye kuliko chadema. This guy atupishe awe mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ila sio active politics. We need changes mtu kama Lissu, Heche, au Golugwa awe mwenyekiti.
 
..kwa jinsi Ccm wanavyotupeleka kuna hatari ya kutokea machafuko ya Gen-Z.
 
Mbowe ni MTU asiyeaminika Tena
Hata jimboni kwake anaweza asitoboe ubunge.

Kama ana tamaa ya uenyekiti wa chama chake tu ndo apewe uongozi wa nchi
Kiukweli umeua vipaji vingi vya viongozi walikuwa na Imani na Chadema

d2edaa9ea99dfb80e63844eb8604fb10.png
 
Yaan inaonyesha huyu ndugu Mbowe, kwanza anaongelea zaidi ubunge sio urais. Yaan, ameshakata tamaa kwenye urais. Ningetegemea, kauli kwamba CCM, ikishinda urais, na tukadhurumiwa nitaacha siasa.

Kwa kweli huyu mzee amepoteza mwelekeo na hana Imani na CDM. Halafu, anaongelea majimbo ambayo CDM ilishinda kwa, ajili ya ndugu ya Lowasa. Mfano, Ngorongoro. Huyu mzee ameshachoka, Ila analazimisha kwa kuwa, kuna pesa za ruzuku.
 
Usimwamini mwanasiasa.....mara nyingi huwa nasisitiza hili Jambo...
 
Mkoa pekee ambao CCM anaweza kupoteza Jimbo moja huku Tanganyika ni Mara kwa John Heche

CCM itapoteza Majimbo Pemba hilo hata Gen Z wanalijua

Mbowe anaanza kupoteza kumbukumbu tuzidi kuwaombea Chadema

Mlale Unono 😀
 
WANAKILIMANJARO TUNAZIJUA SIASA ZA TANZANIA, USITUDANGANYE TUKAKOSA HUDUMA ZA KIMSINGI MKOANI KWETU, HATUTAKI TAFADHALI.

KUICHAGUA CHADEMA NI SAWA NA STOP ENGINE, TULIKIMBIE HILI, TUNAHITAJI HUDUMA BORA KWA SEKTA ZOTE NDANI YA MKOA WETU.

MH. KIMEI USITISHIKE NA KELELE ZA VYURA.
 
Back
Top Bottom