Pre GE2025 Mbowe: Nitajiuzulu siasa 2025 endapo CCM itashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo mkoani Kilimanjaro

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Limedanganya wachagga hadi mkoa umekuwa maskini kama mikoa mingine ya Tanzania ,nyie endeleeni tu kumkumbatia soon hata Singida itakuwa afadhali
Ni mkoa gani unaweza fanana na vijiji vya uchagani Tanzania hii nenda milimani uone maziwa asubuhi na jioni juhudi za watu wamejitambua jamii ya kichaga achana nao kaa nao kwa kuwapenda ila ukiwachukia itakula kwako
 
vijana wa huko vijijini uchagani yamekuwa mateja kwa maana hawana kazi ya kufanya hadi wake zao imebidi wachukue midume toka kenya 🙆‍♂️🙆‍♂️🏃🏼‍♂️
 
Hapana ndugu mimi nimefanya kazi huko muda na vijiji vingi sana na Tanzania tangu murongo karakwe mpaka mtwara na songea hakuna vijana watakao washinda wa wa uchagani milimani ile jamii kuna upendeleo Mungu kawajalia huwezi linganisha na kwingine kikubwa tuwaige
 
Back
Top Bottom