Pre GE2025 Mbowe: Nitajiuzulu siasa 2025 endapo CCM itashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo mkoani Kilimanjaro

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe anaongoza maiti kila analosema wapo kimya tu!
Acha dharau kipara unadhani wewe unaijua ccm kuliko walioko chama mbadala wanajitambua hawapendi kuwa chawa kama wewe bila kucomment kuhusu chadema nadhani familia yako inatengemea kula kwa kuiponda chadema na hasa mbowe kama ni ukada tumekuwepo kwenye chipukizi tangu 1982 lakini tumeona hapana yanatakiwa mabadiliko
 
..kwa jinsi Ccm wanavyotupeleka kuna hatari ya kutokea machafuko ya Gen-Z.
Hili ni swala la muda tu, tena siyo muda mrefu sana kama wataendelea na haya yanayoendelea wakati huu wakishaingia baada ya uchaguzi wa kunyakuwa.

Yaani tuanze ngwe mpya kabisa ya miaka mitano ya huyu 'Chura Kiziwi' katika hali ya uongozi tuliyo ishuhudia katika miaka hii mitatu?
Hiyo Tanzania itakuwa ni ya kipekee kabisa!
 
Hivi kuna mtu ana msikiliza huyo mpuuzi na chupa zake za konyagi na asali
Wewe huta msikiliza lakini mwenzako yuko mbali kisiasa ccm imebaki na hongo za uwongo na vitisho chadema tayari kimeshakomaa kwa uhimara wa kamanda shujaa mwenye busara na hekima ya hali ya juu pia haongeki
 
Kuna mwezako hulu alisema akihamia ccm tuchome nyumba yake Leo yupo ccm
 
Timu ya Tathmini ishafanya kazi yake, ni kweli ccm haitoboi
 
Mkuu sitaki ban ila matusi ninayo ya kutosha
Bado mtoto mdogo kifupi mimi siogopi kutukaniwa mama,baba,mke na watoto ukiniambia naliwa haitokuwa na maana kifupi ikipendeza tukutane uwanjani tuzipige live matusi ni silaha ya muoga na mtu mpumbavu!
 
Mbowe ni kamanda asyechoka.
 
Bado mtoto mdogo kifupi mimi siogopi kutukaniwa mama,baba,mke na watoto ukiniambia naliwa haitokuwa na maana kifupi ikipendeza tukutane uwanjani tuzipige live matusi ni silaha ya muoga na mtu mpumbavu!
Mh
 
Kilimanjaro ukiweka gunzi na ccm wanachagua gunzi.
Ndio maana hata kibaha tu inakusanya mapato kushinda mkoa wote kilimanjaro ,nyie endeleeni tu kuwa misukule ya mzee mbowe ,down the road miaka mingine ishirini Kilimanjaro itakuwa ndio Kigoma ya Tanzania
 
Hakika mbowe ni jabali
Limedanganya wachagga hadi mkoa umekuwa maskini kama mikoa mingine ya Tanzania ,nyie endeleeni tu kumkumbatia soon hata Singida itakuwa afadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…