Ni mkoa gani unaweza fanana na vijiji vya uchagani Tanzania hii nenda milimani uone maziwa asubuhi na jioni juhudi za watu wamejitambua jamii ya kichaga achana nao kaa nao kwa kuwapenda ila ukiwachukia itakula kwako

vijana wa huko vijijini uchagani yamekuwa mateja kwa maana hawana kazi ya kufanya hadi wake zao imebidi wachukue midume toka kenya πββοΈπββοΈππΌββοΈ

Hapana ndugu mimi nimefanya kazi huko muda na vijiji vingi sana na Tanzania tangu murongo karakwe mpaka mtwara na songea hakuna vijana watakao washinda wa wa uchagani milimani ile jamii kuna upendeleo Mungu kawajalia huwezi linganisha na kwingine kikubwa tuwaige