Mbowe pamoja na kuchangisha pesa mikakati iwe kuchukua dola 2025. CCM haikubaliki kabisa maana kwa mwaka mmoja tu imepoteza nguvu

Hoja....

CCM haikumfia mh.Kikwete.....

Tuliipambania kuendelea kutamalaki kama ambavyo itatamalaki baada ya awamu ya 6....umesikia wewe KAMANDA maslahi ?!!!!
Acha Chadema tujipange alafunuone. Kilichotokea 2015 hakitarudia.
 
Aisee wewe utakuwa mke wa pili wa dume fulani. Una maneno ya shombo sana. Au ni mwana taarabu wa Uswahilini? Zugezuge kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…