Mbowe, Rais Samia atakugombanisha wewe na Wanachama, Wafuasi na viongozi wenzako wa CHADEMA

Mchezo uliisha kitambo ,hta mpige kelele watu walishamaliza kazi kitambo
 
Naiona hatari hii mbele ya Mbowe , anapaswa kuamua kuwavna Samia au kuwa na Chadema
Sijui kwa nini Mbowe ameamua kuzishusha mvi zake kaburini kwa fedheha huu eti kuwaridhisha CCM! Au hizi safari za siri lile jicho limemchengua?
 
Hili nilianza kuliona mapema.

Mbowe akirudi ikulu nitaanza kupoteza imani nae, hekima yake iliyopitiliza sasa inatumiwa vibaya na CCM na serikali yake.

Ameshaonesha nia nzuri alikuwa nayo, na utayari wa mazungumzo alikuwa nao, bahati mbaya wenzake ikulu hawako tayari, sasa aachane nao.

Wasituzuge na sauti laini na vilemba, awaachie watanzania sio wajinga wataamua, ukweli wanauona.
kaonekana tena chamwino
 
Vp umeshapoteza imani nae

Tujifunze kuupa muda nafasi ili tuione kwel.
 
Back
Top Bottom