Hata Sina kinyongo
Senior Member
- May 16, 2020
- 118
- 280
Toka mwezi uliopitia huo ndiyo wimbo kwa hiyo hata hii ndoto yako ni sawa na ya alinacha.Endelea kuota bado giza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi uchunguzi wa machine za kupimia corona umeshaisha na upimaji kuendelea au zile positive alizokuwa anatuambia niza mapapai na mafenesi?Kaongea pumba tupu najuta mb zangu zimepotea bure
Watu Tunakaribia kuishinda corona yeye analeta habari za classmates na spika
Utaratibu gn ndugu saiv kariakoo hata barakoa watu hawavai wanajua corona imeisha lakini wakati huohuo katika mpk wa zambia na holili madereva wengi toka tanzania wanatest +ve huoni kuna kitu hakiko sawa ila kinafanywa kionekane ni normalhawaruhusu kama unavyofikiria wewe kuna utaratibu maalum utakao zingatiwa wa kitaalam utakaofatwa.
corona haishi leo wala kesho ni lazima maisha yaendelee huku kukiwa na tahadhari kubwa.
magufuli anaanzisha ila hamini nakwambia kuna nchi nyingi tu zita fuata,
Sent using Jamii Forums mobile app
Comrade hongera kwa kufatilia hotuba makini ya MboweKaongea pumba tupu najuta mb zangu zimepotea bure
Watu Tunakaribia kuishinda corona yeye analeta habari za classmates na spika
Jiwe akianza kuhutubia utafikir anahutubia mazombie au watoto wasioweza kufikiri na kwa bahati mbaya akiwa kanisani anatulaghai siamini km ni washaur bali ni hulka yake ya kutokujaliNimejaribu kujizuia nimeshindwa.
Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.
nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.
tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?
Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?
na wakaanza kupima tena lini?
najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.
salaam.
Ilete hapa JF of GT ili tujadiliane, JF haina ubia na u-tube vinginevyo iondoe Post yako.Hata ningekuwa Ni Mimi siwezi kumpa Mbowe nafasi ya kuongea !Hata kidogo ...Huyu mtu sio kabisa !Hotuba yake kamili ipo YouTube ...itafute usikilize uone sababu ya Serikali kumthibiti!
Ndugu hii sio ndoto ni reality.Toka mwezi uliopitia huo ndiyo wimbo kwa hiyo hata hii ndoto yako ni sawa na ya alinacha.Endelea kuota bado giza.
Watakuwa mazuzu wa kiwango Cha dunia kuendelea kupima watu na vipimo fakeHivi unafikiri Ripoti hiyo utaisoma muda huo huo Rais anapoisoma? Rais anapata taarifa mapema sana hivyo kuhoji Ripoti imetoka au laah ni kukosa maarifa kwenyewe.
Je, uliambiwa upimaji usingefanyika kipindi wanafanya huo uchunguzi?
Tusichoke tuwaombe waliokaribu waendelee kumpa ushauri, na Wale wenye mawasiliano nae wampe nasaha kwa siri na kwa busara huenda tukachukua mkondo wanaochukua wenzetu na dunia nzimaJiwe akianza kuhutubia utafikir anahutubia mazombie au watoto wasioweza kufikiri na kwa bahati mbaya akiwa kanisani anatulaghai siamini km ni washaur bali ni hulka yake ya kutokujali
We umeelewa kuwa wataruhusu tu wanafunzi na michezo kwa pupa!!! Yawezekana wakaanza na wale wa juu wa chuo,hawa madogo wakasubiri kwanza...Michezo pia yaweza chezwa bila spectators kama walivyofanya Bundesliga. ..Mtu msomi kufikiria kuwa kufungulia michezo kipindi hiki basi tutaona mashabiki wamejaa uwanjani ni......* ...basi ngoja nikuache tu.
Unakosa uhalali wa kukomenti kama hujasikiliza! Kanuni ya Great Thinker ni kusikiliza hoja ili ukosoe kwa hoja! Ili kujitendea haki Wewe na gb zako 50, ungeacha kukomenti!nina gb 50 lkn siwezi poteza hata mb 1 kumsikiliza macho ya panzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi tutakapo kufa kwa hayo maelfu wewe utafaidi nini?? Autuseme weye hutakufa? Zidi kuombea wenzio vifo ila na weye utakufa tu. Kumbuka hata kama upo nchi za nje, hakuna mahali corona haijafika hivyo usijione salama sana huko. Tunataka kusikia habari njema tena hizi za kufa kufa tu zimetuchosha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]Hii Sio awamu ya nne mwacheni mzee kikwete apumzike
Muda wa kunywa chai Ikulu na vijakazi wa mabeberu umekwisha
Wenzio walianza kusema hivyo toka mwezi wa tatu wewe ndio unazinduka leo?
Alafu hivi hamna washauri wa kuwashauri kwamba hii ishu ya corona raia wamesimama na rais Magufuli?
Sent using Jamii Forums mobile app