Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

Kaongea pumba tupu najuta mb zangu zimepotea bure

Watu Tunakaribia kuishinda corona yeye analeta habari za classmates na spika
Vipi uchunguzi wa machine za kupimia corona umeshaisha na upimaji kuendelea au zile positive alizokuwa anatuambia niza mapapai na mafenesi?
 
hawaruhusu kama unavyofikiria wewe kuna utaratibu maalum utakao zingatiwa wa kitaalam utakaofatwa.
corona haishi leo wala kesho ni lazima maisha yaendelee huku kukiwa na tahadhari kubwa.

magufuli anaanzisha ila hamini nakwambia kuna nchi nyingi tu zita fuata,

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaratibu gn ndugu saiv kariakoo hata barakoa watu hawavai wanajua corona imeisha lakini wakati huohuo katika mpk wa zambia na holili madereva wengi toka tanzania wanatest +ve huoni kuna kitu hakiko sawa ila kinafanywa kionekane ni normal
 
Nimejaribu kujizuia nimeshindwa.

Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.

nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.

tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?

Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?

na wakaanza kupima tena lini?

najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.

salaam.
Jiwe akianza kuhutubia utafikir anahutubia mazombie au watoto wasioweza kufikiri na kwa bahati mbaya akiwa kanisani anatulaghai siamini km ni washaur bali ni hulka yake ya kutokujali
 
Hata ningekuwa Ni Mimi siwezi kumpa Mbowe nafasi ya kuongea !Hata kidogo ...Huyu mtu sio kabisa !Hotuba yake kamili ipo YouTube ...itafute usikilize uone sababu ya Serikali kumthibiti!
Ilete hapa JF of GT ili tujadiliane, JF haina ubia na u-tube vinginevyo iondoe Post yako.
 
We umeelewa kuwa wataruhusu tu wanafunzi na michezo kwa pupa!!! Yawezekana wakaanza na wale wa juu wa chuo,hawa madogo wakasubiri kwanza...Michezo pia yaweza chezwa bila spectators kama walivyofanya Bundesliga. ..Mtu msomi kufikiria kuwa kufungulia michezo kipindi hiki basi tutaona mashabiki wamejaa uwanjani ni......* ...basi ngoja nikuache tu.
 
Hivi unafikiri Ripoti hiyo utaisoma muda huo huo Rais anapoisoma? Rais anapata taarifa mapema sana hivyo kuhoji Ripoti imetoka au laah ni kukosa maarifa kwenyewe.

Je, uliambiwa upimaji usingefanyika kipindi wanafanya huo uchunguzi?
Watakuwa mazuzu wa kiwango Cha dunia kuendelea kupima watu na vipimo fake
 
Jiwe akianza kuhutubia utafikir anahutubia mazombie au watoto wasioweza kufikiri na kwa bahati mbaya akiwa kanisani anatulaghai siamini km ni washaur bali ni hulka yake ya kutokujali
Tusichoke tuwaombe waliokaribu waendelee kumpa ushauri, na Wale wenye mawasiliano nae wampe nasaha kwa siri na kwa busara huenda tukachukua mkondo wanaochukua wenzetu na dunia nzima
 
Hivi tutakapo kufa kwa hayo maelfu wewe utafaidi nini?? Autuseme weye hutakufa? Zidi kuombea wenzio vifo ila na weye utakufa tu. Kumbuka hata kama upo nchi za nje, hakuna mahali corona haijafika hivyo usijione salama sana huko. Tunataka kusikia habari njema tena hizi za kufa kufa tu zimetuchosha.
 
Ndugu yangu mimi nimesoma ud nimemaliza 2006 lecture theatre hua tunajaa kuliko darsa la form one. Nakumbuka wakati mwengine ukichelewa ht kuingia huez.

Pili katika hostel zero distancing is equal to zero. Jamani tuwe na utu na tufikirie wengine pia
We umeelewa kuwa wataruhusu tu wanafunzi na michezo kwa pupa!!! Yawezekana wakaanza na wale wa juu wa chuo,hawa madogo wakasubiri kwanza...Michezo pia yaweza chezwa bila spectators kama walivyofanya Bundesliga. ..Mtu msomi kufikiria kuwa kufungulia michezo kipindi hiki basi tutaona mashabiki wamejaa uwanjani ni......* ...basi ngoja nikuache tu.
 
Hivi tutakapo kufa kwa hayo maelfu wewe utafaidi nini?? Autuseme weye hutakufa? Zidi kuombea wenzio vifo ila na weye utakufa tu. Kumbuka hata kama upo nchi za nje, hakuna mahali corona haijafika hivyo usijione salama sana huko. Tunataka kusikia habari njema tena hizi za kufa kufa tu zimetuchosha.

Unanikumbusha story moja mbuni alikuwa anafukuzwa na simba akaona option ya kusurvve ni kufikia kichwa chini ya mchanga akiamini amejificha kumbe body yote ipo exposed unajua nini kilitokea?
 
Wenzio walianza kusema hivyo toka mwezi wa tatu wewe ndio unazinduka leo?

Alafu hivi hamna washauri wa kuwashauri kwamba hii ishu ya corona raia wamesimama na rais Magufuli?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu mimi wala simpingi mh. Bali naangalia truth meter au fact check

Hua unazingatia hivi vitu
 
Back
Top Bottom