johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ngoja waje Bavicha watatupa majawabu!Hapo Chadema anapoongoza yeye kuna Haki?
Biashara gani?Well said Mbowe wewe huna njaa ni mfanyabiashara mkubwa sn
Hata chadema mwenyekiti ni yuleyuleMwenyekiti wa Chadema taifa mh Freeman Mbowe amesema yeye hajipendekezi kwa Rais wa JMT mh Samia bali anachotaka ni kuona HAKI inatamalaki nchini na wananchi wanakuwa na furaha.
Mbowe amesema hana sababu ya kujipendekeza kwa sababu CCM inatawala kwa miaka 60 sasa na viongozi wake ni wale wale wanabadilishana tu.
Kazi Iendelee!
Aliwahi kukupora haki yako ipi?Hapo Chadema anapoongoza yeye kuna Haki?
Wewe mmeo ana haki?Hapo Chadema anapoongoza yeye kuna Haki?
Duh.....!Wewe mmeo ana haki?
Kwani mbowe ana elimu gani?Tabia za kujipendekeza wabaki nazo akina Zito na genge lake.
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mh Freeman Mbowe amesema yeye hajipendekezi kwa Rais wa JMT Mh. Samia bali anachotaka ni kuona HAKI inatamalaki nchini na wananchi wanakuwa na furaha.
Mbowe amesema hana sababu ya kujipendekeza kwa sababu CCM inatawala kwa miaka 60 sasa na viongozi wake ni wale wale wanabadilishana tu.
Kazi Iendelee!
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mh Freeman Mbowe amesema yeye hajipendekezi kwa Rais wa JMT Mh. Samia bali anachotaka ni kuona HAKI inatamalaki nchini na wananchi wanakuwa na furaha.
Mbowe amesema hana sababu ya kujipendekeza kwa sababu CCM inatawala kwa miaka 60 sasa na viongozi wake ni wale wale wanabadilishana tu.
Kazi Iendelee!
Kinyume chake mwenye elimu hahitaji kujipendekeza isipokuwa kwa njaa/tumbo lake. Ukiona anajipendekeza labda ana vyeti vya kufojiKwani mbowe ana elimu gani?
Hata akijipendekeza saaana labda awe mlinzi wa kufungua mlango ikuru
Wenye elimu wanajipendekeza kwa sababu nafasi za kutumikia nchi zinahitaji wasomi.

Kama mataga mlivyokuwa brainwashed na marehemu meko, ameshakufa yule lakini bado hamzinduki usingizini sijui ndo kachimbiwa na vipande vyenu vya ugali...sorry namaanisha ubongo zenuMbowe anazidi kuwabrainwash wafuasi wake sugu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbowe anawapeleka puta sana wafuasi wakeKama mataga mlivyokuwa brainwashed na marehemu meko, ameshakufa yule lakini bado hamzinduki usingizini sijui ndo kachimbiwa na vipande vyenu vya ugali...sorry namaanisha ubongo zenu