Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Mwenyekiti ASIYEKIKINAI kiti....Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mh Freeman Mbowe amesema yeye hajipendekezi kwa Rais wa JMT Mh. Samia bali anachotaka ni kuona HAKI inatamalaki nchini na wananchi wanakuwa na furaha.
Mbowe amesema hana sababu ya kujipendekeza kwa sababu CCM inatawala kwa miaka 60 sasa na viongozi wake ni wale wale wanabadilishana tu.
Kazi Iendelee!
Bora ya CCM ndani ya miaka 60 ina Marais na wenyeviti TOFAUTI....
Yeye mwaka wa ngapi huu?!!!!!
Kweli CHADEMA ina "wenyewe wachache".....
#KaziIendelee