johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #21
Ngoja tuone!Safi kamanda Mbowe mapambano yaendelee!
Ngoja tuone!Safi kamanda Mbowe mapambano yaendelee!
Atafute kwanza haki ndani ya Chadema ikishapatikana ndo atoke nje, sawa Mwenyekiti wa kudumu?Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mh Freeman Mbowe amesema yeye hajipendekezi kwa Rais wa JMT Mh. Samia bali anachotaka ni kuona HAKI inatamalaki nchini na wananchi wanakuwa na furaha.
Mbowe amesema hana sababu ya kujipendekeza kwa sababu CCM inatawala kwa miaka 60 sasa na viongozi wake ni wale wale wanabadilishana tu.
Kazi Iendelee!
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mh Freeman Mbowe amesema yeye hajipendekezi kwa Rais wa JMT Mh. Samia bali anachotaka ni kuona HAKI inatamalaki nchini na wananchi wanakuwa na furaha.
Mbowe amesema hana sababu ya kujipendekeza kwa sababu CCM inatawala kwa miaka 60 sasa na viongozi wake ni wale wale wanabadilishana tu.
Kazi Iendelee!
Chuma sasa hivi anawanyooshea wapinzani wapi ?Kwani ukisema unajipendekeza nini kitabadilika?
Mheshimu sana mtu aliyepewa mamlaka na Mungu.Kujishusha sio ajabu ila kujitutumua kwa vimaneno vya ubabe uchwara ndilo jambo linawafedhehesha hawa chadema.
Alikuwepo "chuma" kila mtu alinyooshwa na wakawa kama vifaranga vya kuku.Sasa hivi wanatakiwa kuwa wastaarabu na waongee kwa staha
Ikulu ya Tanzania nayo inahitaji wasomi? Kwa umasikini huu tulionao, ni ngumu kusema nchi hii inaongozwa na wasomi. Wasomi hawa waliolelezwa na dhalimu wakatengeneza kibanda cha kujifukiza hapo muhimbili, badala ya kufanya vipimo ndani ya maabara?Kwani mbowe ana elimu gani?
Hata akijipendekeza saaana labda awe mlinzi wa kufungua mlango ikuru
Wenye elimu wanajipendekeza kwa sababu nafasi za kutumikia nchi zinahitaji wasomi.
Kuna kusoma, kuna kueleimika na **** suala la akili.Kwani mbowe ana elimu gani?
Hata akijipendekeza saaana labda awe mlinzi wa kufungua mlango ikuru
Wenye elimu wanajipendekeza kwa sababu nafasi za kutumikia nchi zinahitaji wasomi.
Hakuna aliyeelimika anayejipendekeza kwa mtu.Kwani mbowe ana elimu gani?
Hata akijipendekeza saaana labda awe mlinzi wa kufungua mlango ikuru
Wenye elimu wanajipendekeza kwa sababu nafasi za kutumikia nchi zinahitaji wasomi.
Hapa CHADEMA ni watu wenye akili zao tu wanaelewa kinacxhoendelea. Wewe utaelewa baadaye sanaHapo CHADEMA anapoongoza yeye kuna Haki?
Mwenye akili, uwezo, uelewa mkubwa, anayelewa maana ya HAKI, AMANI na DemokrasiaHata chadema mwenyekiti ni yuleyule
Unapomzungumzia Freeman Aikaeli Mbowe, unapswa kuwa mtulivu. This is the only worthlistening political party leader in Tanzania. Her Excellency Samia Suluhu Hassan is as well a great Public Speaker.Mbowe anazidi kuwabrainwash wafuasi wake sugu
Ni vyema ukawa specific kuhusu kutokua na haki hapo CDM kwa kuleta evidence, yeye kayazungumzia ambayo yameleta uvunjifu wa sheria na hakiHapo CHADEMA anapoongoza yeye kuna Haki?
Hutaki auBiashara gani?
Hawautaki mchakato wa Prof Kabudi na Polepole?Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.
Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR ,Bwawa la nyerere ,ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?
Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
Hata akijipendekeza hana elimu ya kuweza kufanya kazi Serikalini. Yeye na Musukuma, dugu moja!!!Well said Mbowe wewe huna njaa ni mfanyabiashara mkubwa sana.