Mbowe: Sijipendekezi kwa Rais Samia, ninachotafuta ni haki

Mwenyekiti ASIYEKIKINAI kiti....

Bora ya CCM ndani ya miaka 60 ina Marais na wenyeviti TOFAUTI....

Yeye mwaka wa ngapi huu?!!!!!

Kweli CHADEMA ina "wenyewe wachache".....

#KaziIendelee
 
Hata akijipendekeza kwa Mama ambaye anaonekana ana roho safi, kuna tatizo gani?
Alijipendekeza kwa Magufuli akaishia Segerea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…