Mbowe: Siwezi kung'atuka CHADEMA wala kujiuzulu, mimi sio Nyerere

Tanzania hatuna wapinzani aiseee...
Binafsi sikipendi chama tawala, lakini kwa mwendo huu naona kukitoa chama tawala bado tuna safari ndefu sana.

Haya majitu makina freeman yanawahadaa waTz, yanaboa sana. Watu wamepoteza maisha yao, wamepata ulemavu, wametoweshwa halafu kumbe mijitu inalamba tu asali kwa watawala! shoe wine!

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Ataondolewa na wanachama wapiga kura, chama sio mali yake
 
Ukiiachia SACCOS yetu hii mujarabu, sisi wengine tukale wapi sasa kwa mfano ?
 
Mbowe must go
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…