Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
Sijailinganisha Tanzania na nchi nyingine...nimesema tu Tanzania haina upinzani ni mambo binafsi! Sentensi inayojitegemea na iliyokamilika.Wapi kwenye Upinzani hakuna mambo binafsi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijailinganisha Tanzania na nchi nyingine...nimesema tu Tanzania haina upinzani ni mambo binafsi! Sentensi inayojitegemea na iliyokamilika.Wapi kwenye Upinzani hakuna mambo binafsi?
..wajumbe watasema pale mlimani cityChama hakikabidhiwi Kwa kibaraka
Wacha inyeshe....Mandojo na domokaya wanamzingua sana Erythrocyte na Msanii
Tanzania hatuna wapinzani aiseee...
Binafsi sikipendi chama tawala, lakini kwa mwendo huu naona kukitoa chama tawala bado tuna safari ndefu sana.
Hilo bao ampige bi mkubwa wako. Mbowe hatoboi hata kwa kuiba kura. Tumemchoka mjinga mwenzakoNi chama chako? Baba Yako alianzisha? Akitaka hata Kwa BAO la mkono atashinda
Povu 🤣 🤪 kaanzishe chama chenu ndio mtoboe 😂😂Hilo bao ampige bi mkubwa wako. Mbowe hatoboi hata kwa kuiba kura. Tumemchoka mjinga mwenzako
Mwamba kamaliza kuwa CHADEMA siyo chama ni mali ake binafsiMpaka hapo maamzi hayategemea kura ila uamzi wake
kasema hivyo?Mwamba kamaliza kuwa CHADEMA siyo chama ni mali ake binafsi
Kama amesema baada ya uchaguzi atawashughulikia kuna chama tena hapo?kasema hivyo?
Damu zilizomwagika zitamrudi, hawezi kubaki salama, kamwe!Kama amesema baada ya uchaguzi atawashughulikia kuna chama tena hapo?
🤣🤣🤣🤣🤣 Kunazidi kuchangamka huko Kwa manyumbu.
Mbowe kamatia hapo hapo hakuna kukabidhi chama Kwa wahuni,vibaraka na wapuuzi wengine.
Eti kina Mwabukusi wa TLS ndio wapiga Kampeni wa kibaraka Lisu
Eti kina Slaa na Msigwa waliokombia Chadema wakaenda CCM ndio wapiga Kampeni wa kibaraka Lisu
Mwamba tuvushe Usikubari Kuachia Chama Kwa wahuni Bora chama life wakaanzishe Cha kwao 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DEg5ivZqY2E/?igsh=MWk4aTlnZ3ljMzY2ZA==
Ni Mali yake mbona ?Ataondolewa na wanachama wapiga kura, chama sio mali yake
🤣🤣🤣🤣🤣 Kunazidi kuchangamka huko Kwa manyumbu.
Mbowe kamatia hapo hapo hakuna kukabidhi chama Kwa wahuni,vibaraka na wapuuzi wengine.
Eti kina Mwabukusi wa TLS ndio wapiga Kampeni wa kibaraka Lisu
Eti kina Slaa na Msigwa waliokombia Chadema wakaenda CCM ndio wapiga Kampeni wa kibaraka Lisu
Mwamba tuvushe Usikubari Kuachia Chama Kwa wahuni Bora chama life wakaanzishe Cha kwao 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DEg5ivZqY2E/?igsh=MWk4aTlnZ3ljMzY2ZA==
Aah, asali asali asali utamu mkuu !Huu mzee anazeeka vibaya,kala hela za watu kwahiyo lazima akomaa ili auze chama
Ngoja tuendlee na mauza mauza haya, nayo yatapitaAsipong"atuka atang"atuliwa na kura .