Katika hali ya kushangaza, Mbowe hajatokea kabisa leo Katika tukio la kitaifa la kumkabidhi ofisi Lissu.
Kwa hali ilivyo ni kama uongozi uliopita umekomba kila shumuni kutoka kwenye akaunti ya chama kabla ya kubwaga manyanga.
Mbowe siyo mwanademokrasia kabisa, mnaomsifu mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa tu.
Uongozi mpya unatakiwa kuwa makini sana wale wote wanaopanga kuhujumu na kukwamisha chama waondolewe kwenye chama haraka sana kabla hawajapata muda wa kukivuruga chama.
Umma una matumaini makubwa sana na uongozi wa Lissu kuelekea kuiondoa CCM madarakani 2025.
Soma, Pia: Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election