Pre GE2025 Mbowe siyo mwanademokrasia, kwanini amesusa kuwakabidhi ofisi Lissu na Heche?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chama chini ya lisu kuna inteligencia ya kutosha yeyote atakayejaribu kukiharibu chama atachukuliwa hatua kabla hajajaribu ujinga wake.

Kuhusu ntobi na yerico wala msiwe na wasiwasi tayari tumeshawacontain hizo kelele wanazopiga mitandaoni ni maumivu tu bado wanaugulia
 
Intelligencia tena? Mbona hawakujua kwamba polisi watazuia press conference yao?
 
Kwa kweli kwa matusi yale hata mimi nisingeenda. Maana Mbowe aliambiwa mpaka watu wanaotekwa yeye ndio anawauza kama alivyouza chama kwa Mama Abdul. So sad!
Na timu yake ya akina Ntobi baada tu ya Lissu kutangaza kugombea uenyekiti matusi na kejeli hadi kufukuzwa uongozi, au hukuona?
 
Na alikuwa anahubiri kuponya majeraha ya uchaguzi iwapo angechaguliwa!

Ajabu yeye anaficha jeraha lake baada ya kushindwa!

Mbowe hakuwahi kuipenda CDM,ni vile tu ilikuwa inamnufaisha kiuchumi.
 
Shughili nyingi za chama zilikua zinafadhiliwa na Mbowe kwa kukikopesha chama, ameona dalili hatalipwa bora ajisevie kabisa muanze alifu kwa ujiti.
 
Mbowe hakuwahi kuipenda CDM,ni vile tu ilikuwa inamnufaisha kiuchumi.
shallow analysis! Inamnufaisha kwa vipi? weka ushahidi au nawewe unakuwa kama mropokaji Lisu
 
Ilitosha kumkabidhi madaraka ofisi ni mbwebwe zisizo na lazima!
 
Na timu yake ya akina Ntobi baada tu ya Lissu kutangaza kugombea uenyekiti matusi na kejeli hadi kufukuzwa uongozi, au hukuona?
Hao ni wapambe, ila kwa mtu anayeenda kuongoza chama ilikuwa ni damage kubwa sana anafanya. Kamuumiza vibaya Aikaeli.
 
Mambo ya CHADEMA wewe umeyatoa wapi, kwamba unaipenda sana Chadema? Pemda chama chako hiki waachie wenyewe!
 
Lusungo Fundi Mchundo Retired Quinine Ngongo mwambieni Mbowe akabidhi Ofisi na mali za chama kwa Mwenyekiti mpya.
Umemsikiliza Katibu Mkuu wa Chama? Mwenyekiti wa Chadema sio Mwenyekiti Mtendaji kwa hiyo hana kitu cha kukabidhi. Hata angekuwepo, KM ndie angemkaribisha Mwenyekiti mpya kwenye ofisi zake.

Kumbe mko humu lakini hamsikilizi hotuba za viongozi wenu?

Amandla...
 
Mbowe tuko nae huku chanika kwenye mazishi ya mama mzazi wa mchungaji wa Azania front
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…