Wewe unafanya nini? AU ni Usalama?Baadae atampigia mama simu amwambie asimuelewe vibaya, ameamua kujitokeza ili kuwazubaisha na kuwahadaa wadanganyika, baada ya malalamiko mengi juu ya ukimya wake.
Dj yupo sahihi kabisa.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kinachoendelea katika ajira ya Watumishi ni kukatwa kodi mara mbili.
Hizi hapa nukuu za Mbowe...
“Tunapowapa Watawala nafasi ya kuongoza maisha yetu na wanaamua bila kujali kinachotupata, hatupaswi kuwa waoga.
Kuna wakati nakwazika sana kwa kazi ninayofanya mnapokuwa waoga na hofu, halafu mnalalamika.
Hao wanaowatoza kodi hiyo wanakwenda kununua V8 ya Shilingi Milioni 450 au 500, mtu ambaye angekuwa nyumbani kwa mumewe au mkewe asingeweza kununua V8.
Lakini kwa kuwa kuna pesa ya Wajinga Watanzania wanaweza kununua gari la kumpa Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi, Jaji kila mmoja.
Jiulizeni ni Wafanyabiashara wangapi ambao wana uwezo wa kuendesha magari mapya?
Magari mapya Nchi hii ni mali ya viongozi wa Serikali, na mnavyokaa kimya mambo haya ndiyo yanaendelea, mnatakiwa kuamka.
Kama mnataka kuibadilisa Nchi hii lazima tuache woga, lazima viongozi wa dini muongee.
Nilimwambia Rais Samia hii simulizi ya ‘amani’ ‘amani’ ‘amani’ ni kupoteza muda, simulizi sahihi ni haki haki haki.
Kuwepo na haki kwa watu wote litakuwa tafa bora la kuishi. Watanzania wameangalia uchaguzi wa Kenya kila mmoja ametamani, ulikuwa wa wazi hakuna mizengwe
Anatumia hela zake au za umma?.Ndugu Mbowe anatumia gari aina Gani? Kabla hatujajadili V8 alonunua mwigu Kwa Kodi zetu!!
Tuanzie hapo.
True and big up sana magari ya kifahari kila Kona malipo ya kufanya kazi za ziada kuanzia saa tisa na nusu Hadi saa kumi na mbili na nusu au zaidi kidogo posho ya siku hiyo sh laki mbili na nusu wakati nchi hii Kuna watu bado wanalipwa mshahara wa sh laki moja kwa mwezi huko sekta binafsi kweli yasemwe tu. Na wanaoteseka na tozo si wafanyakazi tu Hadi wastaafu na wengine wote piga chini Madelu hatufai
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kinachoendelea katika ajira ya Watumishi ni kukatwa kodi mara mbili.
Hizi hapa nukuu za Mbowe...
“Tunapowapa Watawala nafasi ya kuongoza maisha yetu na wanaamua bila kujali kinachotupata, hatupaswi kuwa waoga.
Kuna wakati nakwazika sana kwa kazi ninayofanya mnapokuwa waoga na hofu, halafu mnalalamika.
Hao wanaowatoza kodi hiyo wanakwenda kununua V8 ya Shilingi Milioni 450 au 500, mtu ambaye angekuwa nyumbani kwa mumewe au mkewe asingeweza kununua V8.
Lakini kwa kuwa kuna pesa ya Wajinga Watanzania wanaweza kununua gari la kumpa Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi, Jaji kila mmoja.
Jiulizeni ni Wafanyabiashara wangapi ambao wana uwezo wa kuendesha magari mapya?
Magari mapya Nchi hii ni mali ya viongozi wa Serikali, na mnavyokaa kimya mambo haya ndiyo yanaendelea, mnatakiwa kuamka.
Kama mnataka kuibadilisa Nchi hii lazima tuache woga, lazima viongozi wa dini muongee.
Nilimwambia Rais Samia hii simulizi ya ‘amani’ ‘amani’ ‘amani’ ni kupoteza muda, simulizi sahihi ni haki haki haki.
Kuwepo na haki kwa watu wote litakuwa tafa bora la kuishi. Watanzania wameangalia uchaguzi wa Kenya kila mmoja ametamani, ulikuwa wa wazi hakuna mizengwe
Ni kujitolea after si lazima. Kuna mkataba aliingia na wabongo kuwa atawatetea milele?Amejitoleaje wakati ndio kazi yake aliyoichagua
Kama njia zipi hizo? Embu orodhesha hizo njia ambazo zimefanikiwa mbali na maandamano?Tusifanye maandamano kuwa ndio hitaji letu tukumbuke kuwa maandamano ni moja tu ya njia ya kuonesha hisia zetu hivyo mimi naamini zipo njia zengine pia za kuonesha hisia zetu tusijifunge na maandamano tu.
Kuna mbwa mwenzio kanunua mabasi 60 hukoAnapiga siasa tuu za kijinga,nani anaenunulia V8 pesa ya tozo?
Kweli kabisa kamanda umenens vema.sisi kutwa kulalamika no action.mtu mmoja ananunuliwa gari ya thamani ya 450ml.unfair kwa kweli.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kinachoendelea katika ajira ya Watumishi ni kukatwa kodi mara mbili.
Hizi hapa nukuu za Mbowe...
“Tunapowapa Watawala nafasi ya kuongoza maisha yetu na wanaamua bila kujali kinachotupata, hatupaswi kuwa waoga.
Kuna wakati nakwazika sana kwa kazi ninayofanya mnapokuwa waoga na hofu, halafu mnalalamika.
Hao wanaowatoza kodi hiyo wanakwenda kununua V8 ya Shilingi Milioni 450 au 500, mtu ambaye angekuwa nyumbani kwa mumewe au mkewe asingeweza kununua V8.
Lakini kwa kuwa kuna pesa ya Wajinga Watanzania wanaweza kununua gari la kumpa Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi, Jaji kila mmoja.
Jiulizeni ni Wafanyabiashara wangapi ambao wana uwezo wa kuendesha magari mapya?
Magari mapya Nchi hii ni mali ya viongozi wa Serikali, na mnavyokaa kimya mambo haya ndiyo yanaendelea, mnatakiwa kuamka.
Kama mnataka kuibadilisa Nchi hii lazima tuache woga, lazima viongozi wa dini muongee.
Nilimwambia Rais Samia hii simulizi ya ‘amani’ ‘amani’ ‘amani’ ni kupoteza muda, simulizi sahihi ni haki haki haki.
Kuwepo na haki kwa watu wote litakuwa tafa bora la kuishi. Watanzania wameangalia uchaguzi wa Kenya kila mmoja ametamani, ulikuwa wa wazi hakuna mizengwe
Watanzania aisee.Ndugu Mbowe anatumia gari aina Gani? Kabla hatujajadili V8 alonunua mwigu Kwa Kodi zetu!!
Tuanzie hapo.
Muulize mumeo yeye amefanya nini?Wanachama na wapenzi wa chadena kwa ujumla wao wamefanya nini?
😅😅😅Mtu anayetaabika halafu halalamiki wala kudai haki yake inafaa akejeliwe ili akili imkae sawa. Kwasabb hawa hawa wananchi wanaoumia ndiyo uchaguzi ukifika unakuta akili zinafubazwa na ubwabwa, kanga na kofia
Mbowe ni Multibilionare toka enzi na enziNdugu Mbowe anatumia gari aina Gani? Kabla hatujajadili V8 alonunua mwigu Kwa Kodi zetu!!
Tuanzie hapo.
Unataka kusema hujui. Sisi ndio tunaongoza nchi ccm inatawala tu.Wanachama na wapenzi wa chadena kwa ujumla wao wamefanya nini?
Walikuwa wanataka aseme. Sasa kasema🤣🤣Lumumba wana tafutana HIMARS imejibu huko.....
Mwamba kama mwamba yaani
Wako bize na connections, simba na yanga.Mbowe wewe endelea kufanya ishu zako, wabongo 'walisharogwa'
Tena huku wanakukashfu eti hufai.Kuwasaidia wabongo ni kazi sana,mtu anajitolea lakini anaowasaidia wala hawana habari na ndio waimba pambio, za kusifu na kuabudu huku wanateketea
Wengine hata wa kibodi tu hawana. Kumbuka enzi za JpmWengi humu ni majasiri tukiwa nyuma ya keyboards basi. Zaidi ya hapo hakuna kitu
Ili apate madaraka kiongozi yoyote au chama chochote lazima kitumie matatizo ya wananchi kama njia ya kuingia madarakani tofauti na hapo huwezi kupata madaraka kea maana hiyo Mbowe hapo ajitolei anafanya kama sehemu ya siasa yakeNi kujitolea after si lazima. Kuna mkataba aliingia na wabongo kuwa atawatetea milele?
Tangu sheria iliwazuia viongozi kufanya biashara? Kwani kanunulia pesa za serikali?Kuna mbwa mwenzio kanunua mabasi 60 huko