The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Katika magari mengi yanayonunukiwa na Serikali hizo V8 ni kwa viongozi wachache wa ngazi za Juu kuanzia makatibu wakuu, Mawaziri,majaji na wakuu wa Taasisi wengine wote ni magari ya kawaida....inaelekea una taarifa sahihi za ndani.
..gharama za kununua ma-V8 kila mwaka ni kiasi gani?
Ujinga wa kuwa na kiongozi wa siasa asiyekuwa na ushawishi. Watu siyo waoga hawakuamini wakipata wakamuamini hata kesho wanaingia Road kudai haki zao.
Hawa hawa wanaopiga vibaka kama mbwa koko.Wakuingia Barabarani Watanzania Hawa Hawa , sisi sisi , mimi na wewe .. ?
Unaposema niorodheshe njia zilizofanikiwa tofauti na maandamano inakuwa kama vile tumejaribu njia zengine bila mafanikio wakati hakuna chengine tulichofanya zaidi ya kuongea tu humu mitandaoni, tunaweza hata kufanya migomo mbalimbali kuonesha hisia zetu.Kama njia zipi hizo? Embu orodhesha hizo njia ambazo zimefanikiwa mbali na maandamano?
Unataka nikuelewe kwamba umekasirika au kwamba ni bingwa wa kutukana?Muulize mumeo yeye amefanya nini?
Come again say whaaat?kwa kuwa kuna pesa ya Wajinga Watanzania
Whaaat?wanaamua bila kujali kinachotupata, hatupaswi kuwa waoga
Kweli sio kweli?mnapokuwa waoga na hofu, halafu mnalalamika.
Umesema!?wanaowatoza kodi hiyo wanakwenda kununua V8 ya Shilingi Milioni 450 au 500
Aah! Kumbe?Magari mapya Nchi hii ni mali ya viongozi wa Serikali
Sasa unadhani hivi mnavyoingoza nchi ipo katika muelekeo sahihi? Maana nyie si ndio mnaiongoza.Unataka kusema hujui. Sisi ndio tunaongoza nchi ccm inatawala tu.
Hayo mtajua wenyewe nyie watawala.Sasa unadhani hivi mnavyoingoza nchi ipo katika muelekeo sahihi? Maana nyie si ndio mnaiongoza.
Tatizo la wabongo ni kuendekeza njaa na ofcourse njaa ndio inawafanya wengi kuamka asubuhi na kwenda kutafuta. Kungekuwa na food stamps kama Marekani kwamba watu wanaingia kwenye stores maalumu za kuhudumia kaya maskini na kupewa chakula bure 8O% ya wanaoenda makazini wangekuwa wamelala tu.Ipo kampuni Fulani nilifanya KAZI one month, Nikagundua kwamba kuna unyonyaji mkubwa, wafanyakazi hawalipwi stahiki zao, Wanafanya kazi kwenye Mazingira magumu, . And mwajiri haukuwa mtz ni mtasha till now, watu wanakalamika kimya kimya mjuba nikaamua nilianzishe , Nenda Uhamiaji, Vyama vya wafanyakazi ... Nikawapanga watu siku ya tukio hakuna aliyeonekana , uzuri nilikuwa ninao ushahidi wa maandishi na sauti , ikanisaidia , Hawakuoewa stahiki zao na like swala kiliishia pale pale, Mpaka sasa hivi Wanafanya KAZI humo na wanakalamika tuu kila siku.
I went too far nkatafuta namba za wahusika wakuu wapo huko SA fanya Mawasiliano nao nikaadress kila situation wanayopitia wafanyakazi , Kuulizwa wako kimya.. hawatoi ushirikiano..
I decided to halt the operation nkaendelea na hamsini zangu, Ifike Wakati tujitambuame na tutambue ni nini tunapambania , hakuna ugomvi Wala vita , Wala chili Ni kudai haki KWA amani, ..
Ni vigumu kumpambania mtu mnafuki /mjinga/Mwoga asiejua anataka nini leo kesho Na siku za usoni.
Watanzania Tuamke tudai haki .. nasema tena haki
Jibu hoja acha hasira.Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu,pole sana.
Hivi ushahidi wa kuwa alikopeshwa hilo gari unao au unaropoka tu???
Sasa nyie si ndio nchi hii mnaiongoza? Au ulikusudia kuongoza nchi katika nini?Hayo mtajua wenyewe nyie watawala.
AuUnataka nikuelewe kwamba umekasirika au kwamba ni bingwa wa kutukana?
Kipindi ni kiongozi kambi ya upinzani hakukua na tozo za hovyo hovyo.Mbowe alikuwa waziri mkuu KIVULI, Kambi ya upinzani, Kodi zetu zilitumika kumnunulia Kwa mkopo magari hayo hayo.
Mbona hakuyakataa Yeye na Kambi yote ya upinzani??
Anapata wapi uhalali kuhoji magari ya kifahari???
Tunapoandika KATIBA mpya ya wananchi, yapo mambo hata viongozi tunaowashabikia lazima wadhibitiwe.
Mkuu upo sahihi mno ,sema unaojibizana nao wameweka mahaba mbele badala ya rationality ... Wanaongozwa na hisia ..Jibu hoja acha hasira.
Unajitoa UFAHAMU kwamba wabunge wote chama tawala na upinzani walikopeshwa pesa za kununua magari???
Hujui wote walichukua pesa hizo? Na Si wote walionunua V8, wengine walionunua magari ya kawaida pesa ilobaki wakaingiza Kwa biashara zao na walilipa mikopo hiyo!!!!
Hoja ni kuwa MKULIMA anaehangaika kupata pesa ya kununua mbolea, anaumiza KICHWA wapi atapata pesa ya kumpeleka mtoto Hospitali akiugua, amepata wapi pesa ya kumkopesha Mbunge pesa ya kununua V8,???
Mwananchi anauliza swali ajibiwe, Si Kila muda ni wa kufanya propaganda!!!!!
Tunakwama Sana mkuu , alafu ukishika hamsini zako wanakumind .. ..Tatizo la wabongo ni kuendekeza njaa na ofcourse njaa ndio inawafanya wengi kuamka asubuhi na kwenda kutafuta. Kungekuwa na food stamps kama Marekani kwamba watu wanaingia kwenye stores maalumu za kuhudumia kaya maskini na kupewa chakula bure 8O% ya wanaoenda makazini wangekuwa wamelala tu.
Mkiwa watu 15 mnaseti mchakato wa kupambana mgewe haki yenu mmejizatiti utashangaa kwenye ku show up mnakuwa watu watatu. Kiini ukichunguza mtu anaogopa atafukuzwa kazi ati familia inamtegemea kana kwamba nyie wengine hamna familia zinazowategemea.
Waombe radhi Ili wasamehewe Ili wapate Justification kuyahoji mambo hayo.Mkuu upo sahihi mno ,sema unaojibizana nao wameweka mahaba mbele badala ya rationality ... Wanaongozwa na hisia ..
Namkubali Sana mbowe na wengineo ila KWA Hili lazima alijibie na aombe msamaha ...
Alafu Tufanye yajayo..
Niliqahi uliza Je walokuwa wakipiga kelele KWA sababu Hawalambishwi asali?
Hawapo kwenye mfumo?
Niliambulia matusi na mapovu , Badala ya majibu .
Au Tuseme Tuseme kipindi kile Hali ya huduma za kijamii (elimu,afya,miundombinu,chakula,makazi,makazi ,haki nk) vilikuwa sawa Pamoja na purchasing power ndiyo maana hakuzungumza anayozungumza leo?
Hapana yapasa atolee majibu yeye mwenyewe.. na aombe msamaha .
Narudia tena alafu tufungue ukurasa mpya
Wanaoendekeza njaa ndio wasaliti. Hakuna change inayokuja bila effort na maumivu. Watu wanataka wa relax wapambaniwe ili wao waje kula ma apple.Tunakwama Sana mkuu , alafu ukishika hamsini zako wanakumind .. ..
Tutafika tumechoka sana ..
Kila siku huwa nawaza nitawaambia nini wanangu siku wakijitambua na kuniuliza , baba uliyaona ulifanya nini au baba ulichukua hatua Gani Juu ya mambo Fulani ...
Kama wote tukiwa guided by purpose hakika haki itapatikana , Tukiongozwa na Ari na hamasa ya kutengeneza Tanzania bora KWA vizazi vya sasa na baadae Tutasimamia haki , msingi ya utawala bora nk..
Najisikia kuandika Sana na kulalama , Lakini yote haya hayatasaidia .. Ifike Wakati tutoke kwenye mashimo yetu KWA Umoja na mshikamano tumfunge paka Kengele.