Mbowe HANA BEI. Amini ndugu.Huyu tuliambiwa ameshalamba asali, sasa sijui ndo kutuvika kilemba cha ukoka....anyway acha ibaki hivyo hivyo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe HANA BEI. Amini ndugu.Huyu tuliambiwa ameshalamba asali, sasa sijui ndo kutuvika kilemba cha ukoka....anyway acha ibaki hivyo hivyo...
Ntumie picha yakeAmenunua Kweli, tena bila aibu wananchi wakililia kupaa Bei za mafuta na tozo.
Ngoja niwasiliane nae anitumie😀😀Ntumie picha yake
Jambo hili litatatuliwa na KATIBA mpya ya Warioba.Nilishaleta uzi humu, kama serikali ina struggle kukusanya kodi hadi inaamua kuleta tozo ambazo ni mzigo kwa wananchi huku ikijua fika wananchi tayari wanalemewa na mfumuko wa bei na vipato vyao vimebaki palepale au vimeendelea kupungua, kuna justification gani ya kuendelea kuagiza magari ya kifahari ya V8 kwa ajili ya viongozi na watawala?
Najua Mbowe ni TAJIRI.
Ninachopinga ni Mbowe huyo huyo aliekopeshwa V8 akiwa Waziri mkuu KIVULI Kambi ya upinzani na wabunge wote wa upinzani waliyapokea bila kukataa.
Leo wanapata wapi mamlaka ya kuhoji magari ya mawaziri ya kifahari.
Jambo hili mwenye Uhalali wa kuhoji ni MWANANCHI anaekamuliwa.
Katika Katiba mpya tusiwaachie wanasiasa watusemee sababu yapo yanayowanufaisha hawawezi yasimamia.
Naichukia sana CCM naiombea IFE, bt pia Nawakosoa Upinzani Ili wakae Kwa mstari wanapopotoka.
Ameeeen.
Mtaalam Mbowe
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kinachoendelea katika ajira ya Watumishi ni kukatwa kodi mara mbili.
Hizi hapa nukuu za Mbowe...
“Tunapowapa Watawala nafasi ya kuongoza maisha yetu na wanaamua bila kujali kinachotupata, hatupaswi kuwa waoga.
Kuna wakati nakwazika sana kwa kazi ninayofanya mnapokuwa waoga na hofu, halafu mnalalamika.
Hao wanaowatoza kodi hiyo wanakwenda kununua V8 ya Shilingi Milioni 450 au 500, mtu ambaye angekuwa nyumbani kwa mumewe au mkewe asingeweza kununua V8.
Lakini kwa kuwa kuna pesa ya Wajinga Watanzania wanaweza kununua gari la kumpa Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi, Jaji kila mmoja.
Jiulizeni ni Wafanyabiashara wangapi ambao wana uwezo wa kuendesha magari mapya?
Magari mapya Nchi hii ni mali ya viongozi wa Serikali, na mnavyokaa kimya mambo haya ndiyo yanaendelea, mnatakiwa kuamka.
Kama mnataka kuibadilisa Nchi hii lazima tuache woga, lazima viongozi wa dini muongee.
Nilimwambia Rais Samia hii simulizi ya ‘amani’ ‘amani’ ‘amani’ ni kupoteza muda, simulizi sahihi ni haki haki haki.
Kuwepo na haki kwa watu wote litakuwa tafa bora la kuishi. Watanzania wameangalia uchaguzi wa Kenya kila mmoja ametamani, ulikuwa wa wazi hakuna mizengwe
Unadhani kwa upande wake yeye amefanya vya kutosha?Hii kauli ya Mbowe kwamba "nakwazika sana kuona wanakuwa waoga" inaonesha bado ana dhamira ya dhati kuleta mabadiliko nchi hii.
Kinachomkwamisha ni kukosekana kwa ushirikiano anaohitaji toka kwetu, tupo kama misukule ndio maana naye anajua hilo, japo ameshindwa kutumia hilo neno kwa heshima yake aliyonayo kwetu.
Naamini wale wajuaji wanaosema kila siku Mbowe amelamba asali ndio maana yupo kimya, sasa ni wakati wao kum-prove wrong Mbowe, simameni mhesabiwe kulinda haki zenu ili Mbowe awe pamoja nanyi.
Maandamano si kitu ambacho ndio tunakihitaji bali ni moja wapo ya njia ya kuonesha hisia zetu, hivyo zipo njia zengine za kuonesha hisia zetu kama maandamano inashindikana kwa kuogopa virungu.Mbowe anzisha maandamano.
Hoja nzuri...ungelaumu viongozi wa serikali na Ccm wanaotumia bure ma-V8 na magari mengine ya kifahari ya serikali.
..kwasababu waliokopeshwa wanarejesha mikopo yao, ungeshauri serikali iwakopeshe viongozi ma-V8, badala ya kubeba mzigo wa kununua na kuhudumia utitiri wa magari ya serikali.
Is why tuko hapa. Kutoka hamuwezi sababu mmetishiwa virungu, na hili wameshalijua kwahiyo wanajua hamna namna zaid ya social media.Maandamano si kitu ambacho ndio tunakihitaji bali ni moja wapo ya njia ya kuonesha hisia zetu, hivyo zipo njia zengine za kuonesha hisia zetu kama maandamano inashindikana kwa kuogopa virungu.
Mnaposema wananchi waoga huwa mnaama kwamba walitakiwa kufanya nini ili kuonesha kuwa sio waoga?Ni kweli kuwa wananchi ni waoga ila siamini kama Chadema inaweza fanya jambo lolote la maana katika Taifa letu kwa sasa.
Chadema imeshindwa kufanya lolote ilipokuwa ya moto kwa sasa viongozi wake wakuu wamejichokea na kukata tamaa.
Mafuta ya kuweka kwenye gari hiyo yalitokana na POSHO alizolipwa na wananchi maskini Ili aendeshe magari hayo ya kifahari.mbowe alinunua hio gari akiwa wazir kivuli lumumba inamazezeta kweli.
Kwamba mtu anaamka kwake na kwenda kupiga kura kisa kapewa kofia?Mtu anayetaabika halafu halalamiki wala kudai haki yake inafaa akejeliwe ili akili imkae sawa. Kwasabb hawa hawa wananchi wanaoumia ndiyo uchaguzi ukifika unakuta akili zinafubazwa na ubwabwa, kanga na kofia
Ndiyo na kandambili iliyokatika kipande kwa kuchanwa na gwambara. Kavaa tshirt na kofia yenye picha ya mwanamme/mwanamke mwenzakeKwamba mtu anaamka kwake na kwenda kupiga kura kisa kapewa kofia?
Aliyechelewa kuongea ni bora sana kuliko aliyenyamaza kabisaNi sawa, huo ni utajiri binafsi wa Mbowe.
Bt Mbowe kama taasisi, hawajawahi kupinga ununuzi wa mav8 Kwa Kodi za Wananchi, walikopeshwa na Mbowe kalitumia.
Tuliona pia POSHO za wabunge CDM waliungana na CCM wakitaka ziongezwe, bt wananchi tulitaka zishushwe.
Watuachie wananchi kuhoji bt wao walishindwa KUSIMAMIA.
KATIBA mpya ya Warioba ililiona Hilo ikatight maslah ya viongozi yaendane na kipato Cha wananchi.
Ameeeen.
Unaposema Chadema unakusudia hadi na wanachama na wapenzi wa chadema au viongozi tu wa Chadema?CHADEMA wamechoka kutetea majitu majinga wapo sahihi