Mbowe: Tunanyimwa haki ya kupata mlo wa mchana na maji kwa miezi mitano sasa

Niulize tu jamani! kwa nini wewe hujazaliwa kunguni au kama wewe ni kunguni kwa nini yai lako halikuharibika? Kama wewe ni binadamu hairuhusiwi kuwapa chakula mahabusu mahakamani!! umeelewa wewe kichwa maji?
 
Jaji buaaana anauliza mawakili hii nchi ina vituko
Jaji anafahamu fika hili lipo ni unyanyasaji wanaoufurahia watesi
Hii kesi haina mguu wala kichwa waaachieni hawa watu
Mungu ana malipizi makali Juu yenu Kwa nini kuwatesa watu
Kama jehanamu ipo basi mahakama wengi wataangamia kwenye tanuru la moto
 
Mungu awalaani hawa watu na vizazi vyao.
 
Unazijua taratibu za Kyle magereza ? Hasa kwa Hawa watuhumiwa wa ugaidi wanavyo wa treat??
 
Tulisikia mengi sana kipindi kile Uamsho nao wanasota huko.
 
Hii ni aibu!!! Huu ni ukatili ulio pitiliza. Jaji ana walaumu mawakili wa utetezi badala ya kukemea vyombo vya ulinzi kwa huu uonevu?? This is rubbish!!!
Kwanza hawa bado sio wafungwa wana haki zao za msingi. Kula vyakila vya familia..
Kweli imeniuma. What a shame???
 

Hii ni Taarifa mbaya kuisikia.kwani utaratibu wa mahabusu wengine wanaohudhuria kesi mahakamani huwa inakuwaje suala la chakula cha mchana? Tusiangalie tuu hawa akina mbowe,twende mbali zaidi.

Je nao huwa wanatembea na ugali kwenye hotpoti wakiwa mahakamani.ni kweli kwamba ugali wao husongwa alfajiri ili waondoke nao kwenda nao mahakamani?
 
Huu ni ushetani kabisa.
Mkuu hapa nilipo nimepatwa na ganzi, najiuliza ningekua mm miezi yote hiyo ningeweza? Hao jamaa wamepitia ukomandoo, lakini hii ya kukaa miezi mitano bila kula wameshindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…