Mbowe: Tunanyimwa haki ya kupata mlo wa mchana na maji kwa miezi mitano sasa

Mbowe: Tunanyimwa haki ya kupata mlo wa mchana na maji kwa miezi mitano sasa

Unaijua utaratibu wa magereza lakini au unaongea as if hayajawah kukukuta hapo sio wameenda umiseta kwamba watoto wa boarding watapewa chakula na wasamalia hapo wako chini ya magereza ko hawapewi chakula bila amri ya magereza

Da chadema wana roho mbaya sana yaani mbwembwe zote zile kuwa Kila siku kunawasamalia wanaleta chakula mahakamani kume wanakul mashabuki tu atuhumiwa hawapewi? Mara walete keki yaani wana zambi sana wakiambiwa wmtoe wanakataa eti mwacheni tu mbwakabisa hawa
 
Kama ana weza kupata Access ya kusikiliza muziki, basi asikilize maneno haya ya 2Pac yaampa faraja ya kusonga mbele✌️✌️

I ain't afraid of whatever you faggots try to do to me,
Shoot at me, try to corner me, orderlies try to get at me...
 
Imagine wewe ni jaji msomi unaetumikia Serikali kafiri inayolazimisha watuhumiwa wako unaoendesha kesi yao wasipewe chakula!
 
Je, kumpelekea chakula gerezani inaruhusiwa?

Kwa mfungwa hairuhusiwi.

Mahabusu ni kwa utaratibu / ruhusa maalum ya mkuu wa gereza.

Mtuhumiwa anaweza kupewa sumu akiwa mikononi mwa magereza halafu ikawa shida.
 
Da chadema wana roho mbaya sana yaani mbwembwe zote zile kuwa Kila siku kunawasamalia wanaleta chakula mahakamani kume wanakul mashabuki tu atuhumiwa hawapewi? Mara walete keki yaani wana zambi sana wakiambiwa wmtoe wanakataa eti mwacheni tu mbwakabisa hawa
Ushawahi sikia ukienda kusikiliza kesi ya ndugu yako mahakamani unaenda na chakula?
 
Tatizo hilo liko kwa kina Mbowe pekee wanapokuja mahakamani au ni kwa wafungwa wote?

Kama Bwana jela ametoa option yakubeba take away wanapokuja mahakamani, shida iko wapi?

Kwa wazoefu, mtuhumiwa anapokuwa mahakamani wakati wa break haruhusiwi kupewa chakula kutoka nje?

Kwanini imepita miezi mitano linasemwa leo?

nakipindi chote cha kesi huwa tunaona watu wanabreak kwenda kula, Jaji na mawakili pande zote.

Nimeuliza maswali hayo kwa nia njema, tujadili bila siasa kwenye jambo hili.
 
Kuna watu walimuona hayati Magufuli kama kichaa au mtu katili sana lakini kiukweli yule jamaa alikuwa na Upendo tena alijawa hofu ya Mungu.

Sasa hebu fikiria Freeman Mbowe na makomandoo wanalala njaa na mkuu wa gereza yupo, waziri yupo yaah man inasikitisha sana.

Nakumbuka pale gereza la Mwanza Magufuli alitimba yeye mwenyewe na kusikiliza kero za mahabusu na wafungwa.

RIP JPM
 
Katika kesi yake inayoendelea, Freeman Mbowe ameieleza mahakama kuhusu kunyimwa haki ya kupata mlo wa mchana wanapohudhuria mahakamani, kitendo ambacho kimefanyika kwa miezi mitano mpaka sasa...
Tunaomba majina ya Mkuu wa gereza la Ukonga na Mkuu wa gereza la Segerea .

Vyeo walivyonavyo ni vya muda mfupi sana
 
Huyu jamaa anatuona watanzania wote Ni malofa Kama anavyowaona wafuasi wake.Five months bila maji na chakula ni kitu ambacho hakiwezekanj.

Kama kawaida yake hapo Napo anatafuta huruma ya wafuasi wake,this time hakika amepatikana,anabidi awe mpole
 
Kwann hawakukataa pale pale?.
Usijione mwerevu kuliko hao unaowatetea
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Wafuasi wake wanataka aendelee kukaa ili awe MANDELA. NB Jela/Mahabusu hakuna uhuru anaotaka yeye.
 
tatizo hilo liko kwa kina Mbowe pekee wanapokuja mahakamani au ni kwa wafungwa wote?.

Kama Bwana jela ametoa option yakubeba take away wanapokuja mahakamani, shida iko wapi?...
Kwa sababu jaji ameona hili ni muhm ndo maana wameenda kutafuta suluhu
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Wafuasi wake wanataka aendelee kukaa ili awe MANDELA. NB Jela/Mahabusu hakuna uhuru anaotaka yeye.
Hasara anayopata yeye na nchi kwenye hili, serikali inapoteza zaidi kwenye hii kesi
 
Aisee ni kweli mwanadamu mwenzako anaweza kukutesa kisa tu ujue uwepo wake ili umsujudu.
 
Da chadema wana roho mbaya sana yaani mbwembwe zote zile kuwa Kila siku kunawasamalia wanaleta chakula mahakamani kume wanakul mashabuki tu atuhumiwa hawapewi? Mara walete keki yaani wana zambi sana wakiambiwa wmtoe wanakataa eti mwacheni tu mbwakabisa hawa
Loo umekasirika kweli kweli, uliambiawa wakila watu wengine basi watuhumiwa nao wanaruhusiwa kula? Hebu kuwa binadamu basi angalau kwa dakika moja. Hapa siasa hazipo ni haki ya binadamu. Siasa zitakutoa kwenye utu wako inaonakana upo tayari kuua kwesababu za kisiasa hatari kweli kweli,Bwana Single Window.
 
Da chadema wana roho mbaya sana yaani mbwembwe zote zile kuwa Kila siku kunawasamalia wanaleta chakula mahakamani kume wanakul mashabuki tu atuhumiwa hawapewi? Mara walete keki yaani wana zambi sana wakiambiwa wmtoe wanakataa eti mwacheni tu mbwakabisa hawa
Hivi mtu kama yuko rumande, jukumu la chakula, malazi na matibabu (kama akiumwa) ni la nani, chama/familia au gerezani anakoshikiliwa?
 
Back
Top Bottom