Mbowe: Tunanyimwa haki ya kupata mlo wa mchana na maji kwa miezi mitano sasa

Mzee vyombo vya ulinzi na usalama ni kwa ajili ya viongozi na sio makabwela na walala hoi.Haki ni akhera mbele ya Allah SW.Takbir
Mlaaniwe vyombo vya usalama pamoja na familia zenu kwa kuwaonea watanzania wenzenu huku nyie mkishindilia na kubughia ugali wa bure at taxpayers and donors expenses
 
Walaaniwe wanaotesa wenzao,Haya ni matokeo ya Hangaya kuwahukumu hawa watu kabla ya Mahakama
 
Akili pendwa ya ccm hii. Soma tafakari elewa ndiyo uchangie. Una ujinga mwingi sana sababu ya Mapooza ya kiakili uliyo nayo.
 
Huyu jamaa anatuona watanzania wote Ni malofa Kama anavyowaona wafuasi wake.Five months bila maji na chakula ni kitu ambacho hakiwezekanj.

Kama kawaida yake hapo Napo anatafuta huruma ya wafuasi wake,this time hakika amepatikana,anabidi awe mpole

Tatizo una roho mbaya mpaka umekua kipofu wa haki. Amesema huwa hawali mchana. Ina maana wanashinda njaa siku nzima, kula mpaka warudi jioni huko mahabusu.

Na Hali hiyo imetokea kwa miezi mitano mfululizo, ndio wameamua kulisema. Tatizo mnaona haki Ni kwa CCM ila sio kwa CHADEMA. Haya bwana ipo siku tusiyoijua yatakukuta na utalia na kusaga meno.
 
All in all CCM inachumia nchi yetu laana, mpaka sasa hakuna ushahidi wa kuwa mbowe ni gaidi, waru wanazidi kuteseka buree kwa sababu ya kudai katiba mpya ambayo ni haki yetu.

Mama na familia yake, na viongozi wengine wa nchi wanakula mema ya nchi na familia zao., huku wakisema acha wananchi wateseke katiba mpya wataisikia kwenye bomba...hii ndo maana halisi ya kutotaka mabadiliko.

Lakini sisi wengine hatuoni tunakazi ya kutetea kijani tu, Hivi vijana tunajitambua kweli?
 
Katika kesi yake inayoendelea, Freeman Mbowe ameieleza mahakama kuhusu kunyimwa haki ya kupata mlo wa mchana wanapohudhuria mahakamani, kitendo ambacho kimefanyika kwa miezi mitano mpaka sasa...
Mbona kama ni drama hii inachezwa mchana kweupe
 
Reactions: Tui
Sasa kama Mbowe anafanyiwa hayo vipi mahabusu wegine akina kamchape juakali? Makatili sana nyie watu ila Mungu atawalipa tu.
 
Akili zako zimechukuliwa na pepo mchafu wa St. Valentine, je hujui ukiwa chini ya ulinzi wa magerrza unakula chakula cha jela tu?
Ni kweli ndo maana wakaambiwa wachukue chakula Cha magereza, Sasa kama hawataki kubeba Nani awabebee? Lakini huwa mbowe anaonekana na chupa ya maji sijui kama huwa hayanywi.
 
Reactions: Tui
Jiongeze kidogo mkuu kufuatilia haki ya mahabusu/mfungwa juu ya chakula...

 
Huyu jamaa anatuona watanzania wote Ni malofa Kama anavyowaona wafuasi wake.Five months bila maji na chakula ni kitu ambacho hakiwezekanj.

Kama kawaida yake hapo Napo anatafuta huruma ya wafuasi wake,this time hakika amepatikana,anabidi awe mpole
Amemaanisha siku wanazohudhuria mahakamani hawapati mlo wa mchana na usiku wala maji, hajasema kwamba wameishi 5 months bila kula, jaribu kupambanua akili yako iwaze vyema

Kumbuka kesi imeanza miezi mitano iliyopita
 
Ms
Msitufokee mlisema aliyekuwa anawatesa dhalimu kaisha kufa, sasahivi mnakula bata kwenda mbele, Sasa kama mnakula bata kwenda mbele kelele za Nini? maana aliyekuwa anawatesa dhalimu Wakati kaisha kufa? tatizo la upinzani hasa Chadema ni kupambana na Mtu badaa ya kupambana na mfumo,haya Sasa mlipambana na Magufuli, sasahivi yupo! mbona mpaka Sasahivi mnalialia wakati mbaya wenu hayupo? Wapinzani badilikeni anza kupambana na mfumo sio Mtu
 
Tatizo linaanzia kwenye ukosefu wa ustaarabu kwa watumishi wa uma hasa vyombo vya dola.
Fikra za ubinafsi kama wa wanyama (hayawani) bado zimetawala jamii na taifa kwa ujumla.
Mahabusu wanatakiwa wapewe huduma zote za msingi ikiwemo chakula na malazi bora kwa muda wote wanaposhikiliwa hadi wawe huru au wafungwe baada ya hukumu. Ikiwezekana wachague chakula wanachohitaji kama kinapatikana na kwa gharama ya kawaida.
Kumnyima mtu unayemshikilia chakula ni kosa la jinai (kosa dhidi ya ubinadamu)
 
Huyu jamaa anatuona watanzania wote Ni malofa Kama anavyowaona wafuasi wake.Five months bila maji na chakula ni kitu ambacho hakiwezekanj.

Kama kawaida yake hapo Napo anatafuta huruma ya wafuasi wake,this time hakika amepatikana,anabidi awe mpole
[emoji23][emoji1787]
 
Huyu jamaa anatuona watanzania wote Ni malofa Kama anavyowaona wafuasi wake.Five months bila maji na chakula ni kitu ambacho hakiwezekanj.

Kama kawaida yake hapo Napo anatafuta huruma ya wafuasi wake,this time hakika amepatikana,anabidi awe mpole
Unaweza usile chakula mchana na ukaishi miaka mingi tu.
Asubuhi huwa wanapata kifungua kinywa.
Anachodai ni haki ya kupata chakula cha mchana na maji.
 
Mkuu hapa nilipo nimepatwa na ganzi, najiuliza ningekua mm miezi yote hiyo ningeweza? Hao jamaa wamepitia ukomandoo, lakini hii ya kukaa miezi mitano bila kula wameshindwa.
Ebu Soma vizuri, hakuna binadamu anaweza kukaa zaidi ya siku Saba bila kula. Sasa unasema wamekaa bila kula miezi mitano ??
Elewa ni siku za mahakamani ndo wanakosa chakula Cha mchana ingawa siyo haki kumnyima mtuhumiwa chakula Cha mchana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…