Umesikiliza clip? Kuna kipya hapo?Muache propaganda, chadema inahitaji kiongozi mpya, mawazo mapya
Nadhani hili alilifafanua brother.. Tusiingizwe chaka na ccm.. Wana hofu kubwa kumuona TAL anakuwa mwenyekiti.. Ni kipindi cha kushikamana mpaka hili lipiteHuyu utamwaminije? Msikilize hapa
Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii miezi mitano iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu akibainisha msimamo wake wa kutogombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho.
Wapo wanaosema Mbowe alisema 2023 ndio mwisho hagombei tena nafasi ya mwenyekiti taifa chadema.Huyu utamwaminije? Msikilize hapa
Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii miezi mitano iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu akibainisha msimamo wake wa kutogombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho.
CCM hawamtaki Mbowe, hawana hofu na Lisu!Nadhani hili alilifafanua brother.. Tusiingizwe chaka na ccm.. Wana hofu kubwa kumuona TAL anakuwa mwenyekiti.. Ni kipindi cha kushikamana mpaka hili lipite
Kitu ulishindwa ni kumiliki Akili utakuwa ni WINGA wa Mbowe weweHuyu utamwaminije? Msikilize hapa
Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii miezi mitano iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu akibainisha msimamo wake wa kutogombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho.
Umeongea kinyume chake mkuu!CCM hawamtaki Mbowe, hawana hofu na Lisu!
Chadema inastahili kuongozwa na Msomi kama LissuHuyu utamwaminije? Msikilize hapa
Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii miezi mitano iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu akibainisha msimamo wake wa kutogombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho.
Mbona Heche hayupo kwenye medani? Au ndiye anapangwa kugombea Urais?Wapo wanaosema Mbowe alisema 2023 ndio mwisho hagombei tena nafasi ya mwenyekiti taifa chadema.
Na Lisu alisema, hana nia ya kugombea uwenyekiti chadema.
Nitagombea mimi.
Ukiwa 'waruwaru' unamuweka kwenye kundi la "neo-colonial civil politician"!Lissu
Lissu shikilia hapo hapo,umeshaharibu wachagga wale wajinga wanatoa support kwa mzee MboweUkiwa 'waruwaru' unamuweka kwenye kundi la "neo-colonial civil politician"!
Lissu shikilia hapo hapo,umeshaharibu wachagga wale wajinga wanatoa support kwa mzeeUkiwa 'waruwaru' unamuweka kwenye kundi la "neo-colonial civil politician"!
Huyo mangi anafahamika kwa uchawa.Umeongea kinyume chake mkuu!
Kıla jambo na wakati wake. Upo mchanga katika siasa. Katika siasa dakika ni nyingi sana kugeuza msimamo. Wakati ile aliona Mbowe anatosha, leo hii anaona hatoshi.Huyu utamwaminije? Msikilize hapa
Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii miezi mitano iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu akibainisha msimamo wake wa kutogombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho.
Wewe sasa umelegezwa, hata rafiki yangu Erythrocyte ameishamkubali Lissu. Mpe Retired wiki moja atamkubali TALNadhani hili alilifafanua brother.. Tusiingizwe chaka na ccm.. Wana hofu kubwa kumuona TAL anakuwa mwenyekiti.. Ni kipindi cha kushikamana mpaka hili lipite