Mbowe usikubali kumkabidhi Lissu chama! Kama mbaya, mbaya!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Huyu utamwaminije? Msikilize hapa

Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii miezi mitano iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu akibainisha msimamo wake wa kutogombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho.
 
Attachments

  • SINA MPANGO WA KUGOMBEA UENYEKITI LISU.mp4
    7.1 MB
Huyu utamwaminije? Msikilize hapa

Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii miezi mitano iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu akibainisha msimamo wake wa kutogombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho.
Nadhani hili alilifafanua brother.. Tusiingizwe chaka na ccm.. Wana hofu kubwa kumuona TAL anakuwa mwenyekiti.. Ni kipindi cha kushikamana mpaka hili lipite
 
Huyu utamwaminije? Msikilize hapa

Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii miezi mitano iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu akibainisha msimamo wake wa kutogombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho.
Wapo wanaosema Mbowe alisema 2023 ndio mwisho hagombei tena nafasi ya mwenyekiti taifa chadema.

Na Lisu alisema, hana nia ya kugombea uwenyekiti chadema.

Nitagombea mimi.
 
Moja ya sifa nzuri na muhimu kwa kiongozi ni kuwa tayari kuwasikiliza unaowaongoza, kutathmini na kuzingatia maoni na ushauri wao, na kisha kufanya maamuzi au kuwa tayari kubadilika kwa kuzingatia matakwa ya unaowaongoza.

Maadam Lisu amezingatia matakwa na ushauri wa baadhi ya wanachama na viongozi anaowaongoza, ni jambo jema. Je, waliomshauri na wanaopenda awe kiongozi mkuu wa CHADEMA wanawakilisha kwa kiwango gani matakwa ya wengi, hilo litajulikana kupitia kura za wajumbe wawakilishi.
 
Huyu utamwaminije? Msikilize hapa

Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii miezi mitano iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu akibainisha msimamo wake wa kutogombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho.
Kitu ulishindwa ni kumiliki Akili utakuwa ni WINGA wa Mbowe wewe
 
Yaani burudani yenu Chadrama

🤣🤣🤣🤣

Ila kwanini mnashangaa huku haya yalionekana yatafika hapa tanguuuu...

🍿🍿🍿
 
Huyu utamwaminije? Msikilize hapa

Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii miezi mitano iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu akibainisha msimamo wake wa kutogombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho.
Chadema inastahili kuongozwa na Msomi kama Lissu
 
Wapo wanaosema Mbowe alisema 2023 ndio mwisho hagombei tena nafasi ya mwenyekiti taifa chadema.

Na Lisu alisema, hana nia ya kugombea uwenyekiti chadema.

Nitagombea mimi.
Mbona Heche hayupo kwenye medani? Au ndiye anapangwa kugombea Urais?
 
Huyu utamwaminije? Msikilize hapa

Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii miezi mitano iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu akibainisha msimamo wake wa kutogombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho.
Kıla jambo na wakati wake. Upo mchanga katika siasa. Katika siasa dakika ni nyingi sana kugeuza msimamo. Wakati ile aliona Mbowe anatosha, leo hii anaona hatoshi.
 
Back
Top Bottom