Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
Labda maskini ambao wamekata tamaa wale wanaodhani wenye nacho wakishushwa wao Watapata ahueni 😆😆Hata watu dizaini yako wewe pia kwa wengine wanakuona na wewe ni hasara
TakatakaKwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
Kwani chama ni Mali yake?Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
Samia ni rais makini sana, na si mwehu kama wewe.Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
Ameshashinda tayari.Kama kuiba kura iba kura usimwachie Lisu chama. Fanya umafia wowote.. Utajuta kuzaliwa
sema wewe, usiseme sisis! wewe na nani?Mbowe kama hataki kuachia Chama cc wapiga kura tutatafuta Chama mbadala
Ni haki yako kuwa na mawazo hayo. The question is: Are you thinking rationally? Are you a rational thinking member of a society?Hili grumeti limerushwa wakati mbaya sana. Linaanza kuwababua kwanza kabla ya kulipuka.
Ndio maana siaamini katika hizi siasa za upinzani. Nilichojifunza toka zimeanza, nakishuhudia tena leo. Ni miundombinu ya watu wale wale wanaotuhadaa sisi tusioelewa kinachoendelea.
Ni kuwa sehemu ya kugawana mlo ili maisha yaendelee
Hili nalo taka taka tu! hatukulijua....... safari hii hakuna nairobi,litaishia muhimbiliMnyaturu mmoja
Aya wasiopenda mbowe na chadema nawaona mpoKwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
Brother with all due respect natofautiana kabisa na wewe kwenye hili. Ni muda sahihi wa mwamba kupumzikaKwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
Nyie makamanda uchwara mtajua hamjui hivi karibuni😁
Mungu akusaidie uvuke darasa la upambaff!Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
chama si mali ya mtu mmoja acha uchochezi. Samia hawezi kufuta chama kikubwa vile bila sababu maalumKwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
Ni haki yako kuwa na mawazo hayo. The question is: Are you thinking rationally? Are you a rational thinking member of a society?