Mbowe usimwachie Lissu chama kwa utovu huu wa nidhamu, afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono yako na wananchi wenye nidhamu

Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!

Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
Akili mgando hizi,utake usitake Lissu ndiye Mwenyekiti ajaye,Heche Makamu mwenyekiti na Lemma Katibu Mkuu, habari ndiyo hiyo Chadema ni ya wanachama siyo mali binafsi ya Mbowe. Watu sampuli yako ndiyo mnasababisha Mbowe atukanwe. Kwani hamuwezi kuishi bila uenyekiti wa Mbowe?
 
Haha atakufa akitamka neno "peoples power" huku power iko mikononi mwake, not on people's hands

Mnaimba Demokrasia ila uhalisia mchungu hakuna demokrasia ndani ya CHADEMA.

Unaongoza chama 20 years na bado unaona Tanzania nzima more than 60 million people hakuna mrithi

Inakuwaje kiongozi kama hujaandaa wa kukurithi

Kama mdau wa Demokrasia naumia mno. .
 
Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!

Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
Dah...hata wewe umeamua kusapoti ukurunzinza?

Kwa nini msiache wanachama wenyewe waamue kwa sanduku la kura?
 
Namuunga mkono mbowe, akiachia chama ndo mwisho wa chadema.

Lisu hawezi kuelewana na wenzie ktk siasa, kama anaweza kutukana viongozi wakuu wa nchi akiwa hana mamlaka ya juu ktk upinzani akiwa mwenyekiti atazua tafrani na mamlaka hazitamvumilia.
Namsihi mama atumie instruments zake zite ku mu eliminate lisu toka kwenye siasa abaki mropokaji mtaani
'BUMUNDA'
 
Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!

Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
FOREMOST:

1.DO NOT ATTEND MDAHALO NA MPUUZI HUYU, WAKATI UMEFIKA WA KUNYAMAZA NA KUCHUKUA HATUA

2. Lisu amekosa nidhamu. Komaa na chama chako/chetu na asilani usimwachie chama.

3. Ni mtovu wa nidhamu kwa kiasi kikubwa, mwongo, kigeugeu, haamiiki, mla rushwa...... sikiliza attached clip

4. Afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono na juhudi zako na wanachi wegi wenye
nidhamu!

5. HATUKUMJUA UHALISIA/UNDANI WAKE.....KAMA HUKO NYUMA AMBAVYO HATUKUMJUA LYATONGA MREMA........akaiua NCCR MAGEUZI na kanzisha TLP ambayo nayo ilikufa./..........sikiliza clip niliyoiweka hapa

To me kwa mwenendo wa Lisu acha kife! Hakuna kidumucho duniani....na huu ndio mwisho wa chdema kuliko kumpa mpuuzi huyu!
 
Retired naomba ushahidi wa Lissu kula rushwa pamoja kuwa muongo.

Kila anayegombea uenyekiti wa kikoba, anaonekana adui, kwa hiyo nyie demokrasia mnayoihubiri iko wapi ?.

Chacha Wangwe alipigwa KO
Zitto Kabwe alifukuzwa kama mbwa mwizi akiwa na akina Prof Mkumbo.

Lissu kaundiwa zengwe ila bado amebaki kuwa kisiki cha mpingo, hivyo msipotumia mbinu zenu za CCM tar 21 January, kikoba kitaokolewa toka mikononi mwa wanyanganyi.
 
Sikiliza Mkuu, Duniani kote bila kujali Jinsia, Races ,Kabila ,Rangi, watu wote wenye akili ikiwemo na Mimi, Huwa hatupendi kuonewa Wala kuona MTU anaonewa , Wala kuona mipango yoyote Ovu , Kila kitu chetu Huwa tunapenda kifanyika Kwa Haki na uwazi yaan Nyeupe iwe Nyeupe ,Nyeusi iwe Nyeusi.

Unapotaka kuniumiza, hakikisha wewe ni Msafi kwelikweli, ila kama ni Mchafu , utachafuka mpaka malaika wa Mbinguni waanze Kufurahia.

Wakati Mbowe anamjibu LISSU na kutangaza kugombea, Pascal Mayalla aliandika Uzi, Akimuonya TUNDU LISSU asimjibu Mbowe , nikajiuliza, inamaana Mkuu Mayalla Kwa miaka yote ya kumjua LISSU ,hajafaham LISSU ni mwanadam anayeishi Kwa Kuheshimu Principles za kichwani kwake?.

Yaan LISSU aache Uongo juu yake uwe mkubwa uaminike wamuone lopolopo?

Kwann Mbowe aunganye Umma kuhusu kugombea?? Je sio haki ya LISSU kutumia kujibu mashambulizi??.

Acheni ukweli ubaki kua ukweli.
 
FOREMOST:

1.DO NOT ATTEND MDAHALO NA MPUUZI HUYU, WAKATI UMEFIKA WA KUNYAMAZA NA KUCHUKUA HATUA

2. Lisu amekosa nidhamu. Komaa na chama chako/chetu na asilani usimwachie chama.

3. Ni mtovu wa nidhamu kwa kiasi kikubwa, mwongo, kigeugeu, haamiiki, mla rushwa...... sikiliza attached clip

4. Afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono na juhudi zako na wanachi wegi wenye
nidhamu!

5. HATUKUMJUA UHALISIA/UNDANI WAKE.....KAMA HUKO NYUMA AMBAVYO HATUKUMJUA LYATONGA MREMA........akaiua NCCR MAGEUZI na kanzisha TLP ambayo nayo ilikufa./..........sikiliza clip niliyoiweka hapa

To me kwa mwenendo wa Lisu acha kife! Hakuna kidumucho duniani....na huu ndio mwisho wa chdema kuliko kumpa mpuuzi huyu!
View attachment 3194596
Kwa hiyo chadema ni MALI ya mbowe?
 
Baada ya kujihakikishia mwenyewe kuwa Mbowe hataweza kushinda, naona umeamua kuanza rasmi mkakati wa kuibomoa CHADEMA
 
Back
Top Bottom