- Thread starter
- #101
kwani nimeandikaje? rudia kusoma kwa makinichama si mali ya mtu mmoja acha uchochezi. Samia hawezi kufuta chama kikubwa vile bila sababu maalum
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani nimeandikaje? rudia kusoma kwa makinichama si mali ya mtu mmoja acha uchochezi. Samia hawezi kufuta chama kikubwa vile bila sababu maalum
sawa ngoja nirudie, maana nimerukia kukomenti bila kusoma bodykwani nimeandikaje? rudia kusoma kwa makini
Kamanda uko upande wa Mbowe au Lissu? Achana na vibonzo😁
Akili mgando hizi,utake usitake Lissu ndiye Mwenyekiti ajaye,Heche Makamu mwenyekiti na Lemma Katibu Mkuu, habari ndiyo hiyo Chadema ni ya wanachama siyo mali binafsi ya Mbowe. Watu sampuli yako ndiyo mnasababisha Mbowe atukanwe. Kwani hamuwezi kuishi bila uenyekiti wa Mbowe?Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
Amewashika pabaya wamachame. Sisi huku kanda za Victoria na Serengeti tumeshaamua kwenda na Lissu. Lissu Mwenyekiti, Heche Makamu mwenyekiti na Lemma Katibu mkuu.Naona John Heche amechafua kabisa hali ya hewa baada ya kutangaza kugombea, na pia kumuunga mkono Lissu.
Haha atakufa akitamka neno "peoples power" huku power iko mikononi mwake, not on people's hands
Mnaimba Demokrasia ila uhalisia mchungu hakuna demokrasia ndani ya CHADEMA.
Unaongoza chama 20 years na bado unaona Tanzania nzima more than 60 million people hakuna mrithi
Inakuwaje kiongozi kama hujaandaa wa kukurithi
Kama mdau wa Demokrasia naumia mno. .
Dah...hata wewe umeamua kusapoti ukurunzinza?Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
'BUMUNDA'Namuunga mkono mbowe, akiachia chama ndo mwisho wa chadema.
Lisu hawezi kuelewana na wenzie ktk siasa, kama anaweza kutukana viongozi wakuu wa nchi akiwa hana mamlaka ya juu ktk upinzani akiwa mwenyekiti atazua tafrani na mamlaka hazitamvumilia.
Namsihi mama atumie instruments zake zite ku mu eliminate lisu toka kwenye siasa abaki mropokaji mtaani
Kalambishwa hela ya Abdul imemtoa akili kabisaDah...hata wewe umeamua kusapoti ukurunzinza?
Kwa nini msiache wanachama wenyewe waamue kwa sanduku la kura?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
Mbowe akiendelea chadema itakufa. Hana ushawishi tena na yeye anajua hilo ila ni kama ameshajikatia tamaa anaona bora chama kife kuliko afunikwe.Kama kuiba kura iba kura usimwachie Lisu chama. Fanya umafia wowote.. Utajuta kuzaliwa
Kwani chama ni mali yakeHahahahahahaView attachment 3193107
Kwa hiyo chadema ni MALI ya mbowe?FOREMOST:
1.DO NOT ATTEND MDAHALO NA MPUUZI HUYU, WAKATI UMEFIKA WA KUNYAMAZA NA KUCHUKUA HATUA
2. Lisu amekosa nidhamu. Komaa na chama chako/chetu na asilani usimwachie chama.
3. Ni mtovu wa nidhamu kwa kiasi kikubwa, mwongo, kigeugeu, haamiiki, mla rushwa...... sikiliza attached clip
4. Afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono na juhudi zako na wanachi wegi wenye
nidhamu!
5. HATUKUMJUA UHALISIA/UNDANI WAKE.....KAMA HUKO NYUMA AMBAVYO HATUKUMJUA LYATONGA MREMA........akaiua NCCR MAGEUZI na kanzisha TLP ambayo nayo ilikufa./..........sikiliza clip niliyoiweka hapa
To me kwa mwenendo wa Lisu acha kife! Hakuna kidumucho duniani....na huu ndio mwisho wa chdema kuliko kumpa mpuuzi huyu!
View attachment 3194596
Baada ya kujihakikishia mwenyewe kuwa Mbowe hataweza kushinda, naona umeamua kuanza rasmi mkakati wa kuibomoa CHADEMAFOREMOST: