Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
Hili grumeti limerushwa wakati mbaya sana. Linaanza kuwababua kwanza kabla ya kulipuka.
Ndio maana siaamini katika hizi siasa za upinzani. Nilichojifunza toka zimeanza, nakishuhudia tena leo. Ni miundombinu ya watu wale wale wanaotuhadaa sisi tusioelewa kinachoendelea.
Ni kuwa sehemu ya kugawana mlo ili maisha yaendelee